
Hapa bada niwe tu mkweli,awali nilikuja kufunga Continental ya Dish ila mteja wangu huyu alinunua mwenyewe Decoder ambapo dish alikuwa nayo nilichofanya ni kufanya yangu ili Channel za Continental ziweze kumwagika bila chenga!
Yap nikafanya ya kufanya zikajaa ambapo idadi...