
MADISH TECHNOLOGY INAHITAJI VIJANA ( sales ) WACHAPA KAZI WAPATAO 16 KWA MIKOA IFATAYO:-
Arusha
Dar es salaam
Dodoma
Mbeya
Morogoro
Mwanza
Tanga
Zanzibar
Wenye sifa zifatazo:-
Uwe mtanzania
Uwe na umri 23 - 30
Uweze kuandika na kuongea vizuri kiswahili na English...