
SABA SABA OFA!!!!!
Kwa sasa tunachoangalia ni maonyesho ya saba saba.. kila mtu anataka kujua ni nini kimepunguzwa ili aweze kununua.. King'amuzi cha Azam tv kimekuletea Offer hii hapa! Nunua kinga'muzi kwa shilingi 140,000 nasi tunakuzawadia kifurushi kikubwa cha 28,000...