
Pamoja na makampuni ya Ving'amuzi kujitahidi kutoa matangazo lakini bado kila leo wadau mnaangukia katika mikono isiyo rasmi na matokeo yake mnapata usumbusu msiopaswa kuupata!
Leo niwarahisishie kitu kwa wale wateja wapya.. mnaotaka kununua king'amuzi ( Ving'amuzi...