Call / WhatsApp +255755949413

Jul 20, 2017

BreakingNews toka DStv!!

Wale wapenzi wa mieleka hii imekaaje kwenu!!!!?? Supersport imeingia mkataba mpya na WWE wa kuonyesha michuano yake yote LIVE bila kukosa. Supersport itarusha WWE Flagship shows ikiwemo Raw na Smackdown, WWE specials ikiwemo WrestleMania na SummerSlam. Msimu huu...
Share:

Jul 18, 2017

UKITAKA KUNUNUA KING'AMUZI | ZINGATIA HAYA!

  Pamoja na makampuni ya Ving'amuzi kujitahidi kutoa matangazo lakini bado kila leo wadau mnaangukia katika mikono isiyo rasmi na matokeo yake mnapata usumbusu msiopaswa kuupata! Leo niwarahisishie kitu kwa wale wateja wapya.. mnaotaka kununua king'amuzi ( Ving'amuzi...
Share:

Jul 10, 2017

UNAWAJUA WAHENGA WA HIZI KAZI!?

Neno MUHENGA sio neno geni isipokuwa siku hizi ndio umekuwa msemo... Hapa namkumbuka mwalimu wangu wa lugha moja kati ya aliyowahi kunifundisha ni ile misemo ambayo inakuja na kupotea ingawaje sio misemo migeni.. mfano ulio hai ni hili la WAHENGA!! Neno WAHENGA ni Msamiati...
Share:

Jul 7, 2017

UKITAKA KUNUNUA KING'AMUZI CHA AZAM TV | ZINGATIA HAYA!

NB: Bei zimebadilika, ili kujua bei mpya na offer zilizopo Whatsapp +255658046655Moja ya king'amuzi kilichokubalika kwa muda mfupi sana na kuzoa wateja wengi ndani na nje ya Tanzania.. Hiki ndicho king'amuzi pekee mpinzani mkubwa wa DStv.. Azam tv wamejua ni nini wadau...
Share:

Jul 6, 2017

UKITAKA KUNUNUA KING'AMUZI CHA DSTV | ZINGATIA HAYA!

NB: Bei zimebadilika, ili kupata bei mpya na offer zilizopo Whatsapp+255784378129 ama text / Piga 0789476655 Wakongwe wa Digital hawa hapa na bado wanaendelea kufanya vizuri sana! Leo niwakumbushe kitu kwa wale wateja wapya wanaotaka kujiunga na DStv mnachopaswa...
Share:

Jul 5, 2017

Jul 1, 2017

ELECTRIC FENCE

Electric Fence kiwandani.  Electric Fence kwenye Makazi. Ni katika kuhakikisha sehemu yako na mali zako kiujumla zinabaki salama kwa kuweka ulinzi na mfumo wa ulinzi mmojawapo ni huu wa uzio wa umeme! Electric fence unaweza ukafunga kwa kutumia aina tatu ya vyanzo...
Share:

OFFER ZA VING'AMUZI MSIMU WA SABA SABA

Kwa wale ambao mpaka leo hamjanunua bado Ving'amuzi,tumeingia msimu mwengine wa Offer ili tu kukuwezesha wewe usie na king'amuzi mpaka leo uweze kununu! Bei ya Azam tv Bofya Hapa Bei ya Continental Bofya Hapa Bei ya DStv Bofya Hapa Bei ya Digitek Bofya Hapa Bei ya StarTimes...
Share:

Jun 26, 2017

ONDOKANA NA WINGI HUU WA MADISH..!

 Hapa ni kwenye jengo la Dar Free Market.  Hizi ni baadhi tu ya dishi zilizopo hapa,kutokana na taaluma tuliyonayo haikupaswa kufungwa dishi zote hizi...! Awali ilikuwa Antenna zile za kawaida zilikuwa zinaonekana kama uchafu pindi zikaapo nyingi jengo moja,pia...
Share:

Jun 25, 2017

OFFER YA DSTV MSIMU WA SABASABA

PATA OFA YA SABA SABA NA DStv ! Msimu wa maonyesho ya Biashara ya SabaSaba umewadia rasmi ambapo DStv wanapatikana pale kwenye viwanja vya SABA SABA wakiwa na OFA za kipekee kwenye Msimu huu. Ni Ofa Kabambe, Ofa ya Kujiunga na DStv kwenye Banda lao la SABASABA ni •...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645658

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413