Hii inaweza kutokea kwenye ving'amuzi vyote na hutokea makosa ya mtandao ama kama kifurushi ulichopo sio sahihi hivyo hakiwezi kufika mwezi kwa baadhi ya ving'amuzi! Mara chache mno hutokea kwa ving'amuzi kama cha Azam tv,DStv,Zuku, n.k. na huwa mara zote ni kufail kwa system...
Dec 2, 2017
KING'AMUZI KISICHO NA MALIPO YA MWEZI

Awali tulikuwa na ving'amuzi viwili ambavyo havikuwa na malipo ya mwezi, kulikuwa na Digitek na Continental, baadae Continental wakaanza mfumo wa kulipia na kuwa na Vifurushi pia kutaka kujua zaidi kuhusu Continental decoder bofya hapa, tukabaki na Digitek ambapo ni king'amuzi...
Nov 27, 2017
ZIJUE OFFER ZA VING'AMUZI 2017 KUELEKEA 2018

Tunaelekea katika kumaliza mwaka 2017 na tunategemea kuingia mwaka 2018, yapo mengi ambayo kupitia blog hii umefaidika kwa hali yeyote ile kama ndivyo tunashukuru kwakuwa ndio lengo letu, lakini pia nadhani yapo yaliyokukera kupitia blog hii kama ndivyo tunasikitika na kukuomba...
Nov 23, 2017
DISH 3 | DECODER & RECEIVER 18 | CHANNELS 18 | KWA KILA TV

Hotel - Tv system installation:-
Hii ni hotel ina flow zipatazo tano ina zaidi ya room 50, ina ukumbi wa mikutano,sherehe, ina restaurant, ina bar na kuna sehemu ya Disco pia. Hapa tulichofanya ni kufunga tv ambazo ni zaidi ya 60 tv ambazo kila moja inapokea channels...
Nov 11, 2017
TUNATENGENEZA UTOFAUTI NA WENGINE

Mwaka unaishia yapo yaliyoenda sawa na yapo ambayo yamezidi kwenda kombo, hapa nazungumzia ulimwengu mzima wa Digital tv, ulimwengu ambao umekuja na fursa kwa namba kubwa kwetu sisi vijana lakini pia kuna changamoto ambhata ambazo zinawakabili wote wanaohusika na mulimwengu...
WAKATI MWENGINE TUNAZUNGUMZIA KAZI KWA SURA NYENGINE

Eneo ni Hotel ya Sea Cliff ndani ya mgahawa wa Karambezi, robo 3 ya wateja wa mgahawa huu ni ngozi nyeupe na lugha itumikayo kwa wengi wa wateja wa hapa ni kiingereza na hivyo hata mazingira huwa kama sio Tanzania hivi...
Kwa mwezi wa 10 imekuwa ni sehemu ambayo nimetembelea...
Nov 5, 2017
OFFER YA STARTIMES 2017 KUELEKEA 2018

MFALME WA BURUDANI ZA FAMILIA
Offer hii inakupa unafuu kama ifatavyo:-
Kwa Tsh 78,000 StarTimes ya Dish - Unapata vifaa pamoja na kifurushi cha mwezi mmoja.
Kwa Tsh 34,000 Decoder ya Antenna.
Ufundi Tsh 30,000 Startimes ya Dish.
Ufundi Tsh 20,000 Startimes ya Antenna.
Vifurushi...
Nov 1, 2017
OFFER YA ZUKU TV

Katika kumbukumbu yangu ilikuwa ili umiliki king'amuzi cha Zuku tv ni lazima ilikuwa uwe na Tsh150,000/= Bei ikashuka ikawa Tsh 105,000/=! Ikashuka tena kwa Tsh 95,000/=
Kwa sasa OFFER iliyopo ni tsh 88,000/= unapata Dish,Decoder,Kufungiwa na miezi mitatu bure!
Bei...
Oct 31, 2017
TUMEFUNGA TV 15 | DISH 1 | MUHIMBILI HOSPITAL
Ilikuwa ni kazi ya siku moja ama 2 ila kutokana na mazingira yalivyo imetuchukua wiki 2 ama 3.. hii ni sehemu ambayo haitakiwi kelele na inapotokea idadi ya wagonjwa ni kubwa hakuna nafasi ya kina sie kufanya tulichokifanya hivyo ikawa tunachagua siku maalumu katika wiki...
Oct 30, 2017
STARTIMES UNALIPIA KIFURUSHI HAKIFIKI MWEZI!?

Jinsi inavyokuwa:- Kuna aina tofauti ya vifurushi kwa king'amuzi cha Antenna na Dish pia
Watumiaji wengi wa king'amuzi cha StarTimes hulipia pengine 9,000 ama 6,000 na kutegemea kifurushi alicholipia kiishi kwa muda wa mwezi mmoja,matokeo yake kinaenda wiki moja ama hata...