Call / WhatsApp +255755949413

Oct 10, 2022

CODE ZA VISIMBUZI TANZANIA

Kila kisimbuzi kina CODE yake katika kurahisisha mteja kuweza kujihudumia mwenyewe pasipo kuwasiliana na huduma kwa wateja, kutokana na ukweli kwamba kuna huduma nyengine sio lazima upige simu, hivyo tumia CODE hizi  kwa kubofya kwenye simu yako kisha itakuletea muongozo...
Share:

Oct 6, 2022

CHANNEL GANI UNAITAKA KWENYE TV YAKO!?

 TV inaweza ikakufanya uizunguke dunia.. popote utakapotaka kujua yanayojiri unaweza ukayajua ukiwa na remote yako tuu.. maamuzi ni yako..Tuambie channels gani ama channels za nchi gani unataka kuangalia!?Tutakwambia inapatikanaje na tutaifungaje!?Check nasi WhatsApp +...
Share:

Feb 28, 2020

Je LNB ikitoboka ndio imekufa!?

Moja kati ya maswali ambayo nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara, kila mtu ana namna yake ya kuuliza ila nikiliweka katika mfumo rasmi nimeulizwa Je LNB ikitoboka ndio imekufa!? Nitakuja niwajuze zaidi...
Share:

Jun 9, 2018

MKOA GANI UNAIKOSA OFFER YA DSTV!!??

#DStvnimoto #Kamasiodstvpotezea Niambie upo mkoa gani na je unaikosa offer mpya ya DStv!!?? Imekuwa kawaida kwa baadhi ya mikoa kuuza visimbuzi kwa bei juu na huku sababu zikiwa nyingi, hii hapa ni nafasi ya pekee kwakon niambie upo mkoa gani na unauziwa bei gani dstv. Offer...
Share:

May 18, 2018

ANGALIA KOMBE LA DUNIA KWA TSH 19,000 TU!

  Hapa nazungumzia michuano ya kombe la dunia 2018 itakalofanyika urusi zaidi ya timu 30 kushiriki michuano hii.. Michuano hii inahusisha dunia hivyo wapenzi wa mpira duniani imeelekeza macho na masikikio kwenye michuano hii... Hapa kwa Tanzania kuna habari njema kutoka...
Share:

Apr 17, 2018

MAFUNDI WA DSTV

 Unapata ujumbe wa E48 kwenye kisimbuzi chako cha DStv!? Hilo ni tatizo la signal na jinsi la kulitatua, cha kwanza angalia cable inayotoka kwenye dish na kuingia kwenye dish sehemu iliyoandikwa LNB IN ipo sawa haijachomoka!? Kama ipo sawa shida itakuwa kwenye dish hivyo...
Share:

Apr 5, 2018

DSTV Tsh 79,000/= | KIFURUSHI BURE | TUNAKULETEA BURE

Baada ya ile Offer kubwa iliyodumu kwa muda mrefu kumalizika..!! Bado Multichoice Tanzania imeona kuna kila sababu ya kuangalia namna ya kuwatafutia punguzo lengine ili muweze kufurahia huduma za DStv na sasa ni hii hapa kwa Tsh 79,000 tu unapata vifaa vyote pamoja na kufungiwa...
Share:

Mar 30, 2018

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati naomba tusameheane kwa kuwa majukumu nayo yamekuwa meengi na sio muda wote napitia hii blog, hivyo naomba niwape njia nyepesi ambayo nitakuwa...
Share:

Mar 28, 2018

STARTIMES CHANNEL 5 BURE HATA USIPOLIPIA

Startimes ni moja kati ya ving'amuzi ambavyo vinapaswa kuacha channels za Tanzania uzione bure hata kama malipo yako yameisha.. Hii ni kwa Startimes ya Dish na Antanna..! Je wewe ni mtumiaji wa Startimes na je unapata channel za tanzania bure hata usipolipia!? Kwa maelezo...
Share:

Mar 12, 2018

OFFER MPYA YA DSTV INAKUFATA ULIPO!

Popote ulipo kwa Dar es salaam ikiwa unahitaji kisimbuzi ( Decoder ) ya dstv unachopaswa kufanya ni kupiga tu simu namba 0789476655 kisha kwa Tsh 79,000 tu unaletewa mpaka ulipo na kufungiwa! - Utapata vifaa vyote kama:- Dish LNB Decoder HD HDMI cable AV cable Adapter Remote...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413