
Actually kazi yangu imeweza kunitembeza sehemu nyingi sana kiasi kwamba hata sehemu nyengine sikudhani kama kunawatu wanaishi huko ama ni nchi yetu hii hii Tanzania...!!!!Dah...!! mfano juzi nilikuwa sehemu 1 wanaita Mbagala,ila mbagala hii ipo ndani ndani sana,unaingilia...