Call / WhatsApp +255755949413

Aug 31, 2011

Savvanah Bar & Restaurant

In Quality centre Dar es salaam....!!! Mpaka sasa najivunia kuwa na watu ambao wanaheshimu uwepo wangu,wanathamini mchango wangu na mengineyo mazuri kama hayo,hii imepelekea leo kupewa shavu palee kwenye jengo jipya kabisa la Quality centre lililop pugu road,hapa ndani pana...
Share:

Aug 8, 2011

DSTV offer imeisha..!!

Ilikuwa kama utani na kuacha watu wakajiuliza hee DSTV kunani tena ama ndo wameishiwa,ama wameteteleka kwa sababu ya STAR TIMES...!!!?? Baada ya kutoa bonge la offer kwa 89000/= uliweza kupata full installations..!!Watu wakajisahau na wengine wakiamini wataendelea kushuka...
Share:

Aug 4, 2011

CHANNELS ZA TANZANIA KWENYE DISH..!!

 Swali ambalo nakumbana nalo kila kukicha ya kuwa channel gani na ngapi za Tanzania zinapatikana kwenye S.Dish na kwanini nyengine hazipatikani? huku wengine wakidhani channels zote za Tanzania zinapatikana kwenye S.Dish..!! Zaidi ya yote kuna ambao mpaka leo hii...
Share:

Jul 14, 2011

MAPIPA COMMISSION AGENCY

Pesa si mbaya ila matumizi ndio ambayo mabaya na hii ndio 1 kati ya matumizi mazuri ya pesa,japo yale mabaya hata wakati unafanya unaamini ni mazuri kwako..!! Nilikuwa sehemu 1 wanapaita Magomeni Mapipa kuna yard mpya ya kuuza magari imefunguliwa inaitwa MAPIPA COMMISION AGENCY jamaa hawa wanauza gari aina zote mzigo unatoka moja kwa moja toka Japan...
Share:

Jul 8, 2011

Somewhere in Tabata..!!

Haya ndio kati ya mambo yanayotufanya tuwe bize na heshima iwepo katika jamii na maisha yaweze kwenda mbele..!!Hii ni sehemu moja wanapaita Tabata jijini Dar es salaam,kilichofanyika ni kuinstall DSTV katika vyumba vyote nyuma nzima pamoja na Local channels,zilizo kwenye...
Share:

Jul 3, 2011

Tupo pamoja ila Email ni nyingi sana na zote nitazijibu..!!

C kwamba nimewapotezea wadau wangu laa hasha,ila kazi ni nyingi na utulivu unakuwa mdogo sana,yote ni ninyi mnaonifanya mimi niwe bize hivyo nathamini sana uwepo wenu hivyo wote mtapata kile mnachotaka ijapokuwa inaweza ikawa si kwa muda ule utakao ila ukiwa mvumilivu tatizo lako hapa ndipo kwenye solution. Pamoja sana. Mustapha MaDish. ...
Share:

Jun 20, 2011

TUSIUCHUKULIE POA UKIMWI..!!

 Kwa mtazamo wangu kutokana na research ndogo niliyoifanya inaonyesha kwa sasa swala la gonjwa la ukimwi si kama ilivyokuwa kama miaka ya nyuma na kadri siku zinavyozidi kwenda watu wanazidi kuchukulia poa na kuona kama  mtu kuugua mafua na maisha kuendelea kama...
Share:

Jun 17, 2011

CHANNEL ZINAZOPATIKANA EASY TV..!!

Ntawaletea idadi ya channel zote zinazopatikana kwenye ving'amuzi kutokana na maombi yenu ili muweze kuelewa na kufanya maamuzi yaliyo sahihi na leo hii naanza na EASY TV. EASY TV ina jumla ya channels 32 ila zinazoonyesha ni 30 tu. Movie 1 Movie 2 Movie3 Movie Arabic Aljazeerah CNN BBC CCTV4 UBC Citizen TBC...
Share:

Jun 6, 2011

Transit Motel Airport

 Baada ya kusababisha Transit Motel ya ukonga kazi ikahamia Transi Motel ya air port na kazi ikawa ni moja tu kufanya TV zionyeshe kwa uzuri ili mteja aweze kidhi haja yake kwa kile anachotaka kukiona..!! Nikaanza ingia...
Share:

May 31, 2011

TRANSIT MOTEL Ukonga kama kawa kama dawa...!!

 Ilinichukua siku mbili kufanya nilichofanya na kuacha TV za vyumba vyote zikiwa clear kabisa..!! Inaitwa TRANSIT MOTEL hii ipo ukonga pale njia panda ya kwenda segerea..!!  Hiki ni chumba kimojawapo kati ya vyote nilivyopita pita na kuacha TV za vyumba vyote...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413