Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu na umuhimu wa hii kitu kwenu tumeshindwa kuimaliza kurekebisha hii blog on time hivyo chochote ambacho mtakiona kipo tofauti na hii blog ni katika jitihada za kuboresha na soon itakuwa vizuri zaidi katika muonekano mpya na bora zaidi.
Unaweza kushiriki nasi kwa chochote ambacho unadhani tunaweza kufanya...
Mar 26, 2012
Mar 21, 2012
PATA KILICHO BORA!!
Wengi wanashida ya kupata Installer wenye uwezo na huduma bora!!
Hii ndo solution yenu!!
Kama wewe ni mmiliki wa Hotel ama unataka kujenga Hotel ama zile nyumba za wenyeji na hujui wapi utapata mafundi wenye uzoefu na kutoa ushauri kabla ya kufungiwa Channel unazotaka na...
Mar 17, 2012
FUFUA DISH LAKO LEO!!!

Aliyebahatika kufufua Dish lake!!
Nimegudua kuna Dish nyingi katika nyumba nyingi ambazo hazifanyi kazi zimekaa tu kama uchafu ama urembo!!
yanini kukaa na kitu kisicho na manufaa!!...
Jan 10, 2012
LOCAL CHANNELS ZATULIA KWENYE FUTI 6!!

Baada ya kusumbua muda mrefu hatimae Channels za Tanzania zote zilizopo kwenye Satellite zatulia!
Tatizo ilikuwa kama zinatulia za V za H zitasumbua na Zikitulia za H za V zitasumbua,tatizo hili huwa linatokea mara kwa mara na wala sitaki kuamimni kama ndio limeshakuwa...
Jan 3, 2012
FREE CHANNELS

Kwenye Dish ndogo kuna channels nyingi za bure,inategemea na wewe unahitaji channels za vipi!!Lakini kwenye Dish ndogo hupati channels hata moja ya Tanzania.
Kwa maelezo zaidi usisite kuuliz...
Oct 18, 2011
Dish thamani yake itabaki pale pale!!
Popote ulipo na popote utakapo unafunga.
Uzuri wa Satellite Dish Antenna ni popote ulipo ama utakapoamua kuweka makazi ukilifunga utakacho kuona utaona ikiwa clear bila chenga,Dish inakaa popote na Signal inaingia lakini lisikingwe ili kupata Satellite husika hii inamaana...
Aug 31, 2011
Savvanah Bar & Restaurant

In Quality centre Dar es salaam....!!!
Mpaka sasa najivunia kuwa na watu ambao wanaheshimu uwepo wangu,wanathamini mchango wangu na mengineyo mazuri kama hayo,hii imepelekea leo kupewa shavu palee kwenye jengo jipya kabisa la Quality centre lililop pugu road,hapa ndani pana...
Aug 8, 2011
DSTV offer imeisha..!!

Ilikuwa kama utani na kuacha watu wakajiuliza hee DSTV kunani tena ama ndo wameishiwa,ama wameteteleka kwa sababu ya STAR TIMES...!!!??
Baada ya kutoa bonge la offer kwa 89000/= uliweza kupata full installations..!!Watu wakajisahau na wengine wakiamini wataendelea kushuka...
Aug 4, 2011
CHANNELS ZA TANZANIA KWENYE DISH..!!

Swali ambalo nakumbana nalo kila kukicha ya kuwa channel gani na ngapi za Tanzania zinapatikana kwenye S.Dish na kwanini nyengine hazipatikani? huku wengine wakidhani channels zote za Tanzania zinapatikana kwenye S.Dish..!!
Zaidi ya yote kuna ambao mpaka leo hii...
Jul 14, 2011
MAPIPA COMMISSION AGENCY
Pesa si mbaya ila matumizi ndio ambayo mabaya na hii ndio 1 kati ya matumizi mazuri ya pesa,japo yale mabaya hata wakati unafanya unaamini ni mazuri kwako..!!
Nilikuwa sehemu 1 wanapaita Magomeni Mapipa kuna yard mpya ya kuuza magari imefunguliwa inaitwa MAPIPA COMMISION AGENCY jamaa hawa wanauza gari aina zote mzigo unatoka moja kwa moja toka Japan...