Call / WhatsApp +255755949413

Jan 6, 2013

CHANNEL ZA DIGITEK

Hii ni orodha ya baadhi ya channel zilizopo kwenye king'amuzi cha Digitek, ambacho hakina malipo ya mwezi unafurahia tu hizi channels:- Always Connected Kwa Maelezo zaidi PIGA +255789476655...
Share:

Jan 2, 2013

DSTV TANZANIA

Kujua bei ya sasa Bofya hapa SO MUCH MORE..! Kwa sasa kuna Offer ambapo kwa Tsh 149,000/= Full Installations Unapata Dish ndogo,lnb,Decoder,Cable mt20 na Kufungiwa! Baada ya hapo unachagua Package uipendayo kati ya zifuatazo:- DStv Access Tsh 16,500 - $10 DStv Family Tsh 33,000 - $20 DStv Compact Tsh 53,000 - $32 DStv Compact Plus Tsh...
Share:

Dec 5, 2012

FLAT SCREEN INAZIDI FANYA VIZURI!

 NISHAFANYA YANGU Kiukweli ntaona ajabu sana kama unataka kununua TV na ukaenda kununua zile analogue badala ya flat screen kitu cha bapa! Naanza kuzisahau TV za chogo maana kile niendapo nakutana na flat,jambo zuri na kupendeza maana hata ufungaji wake tv inakuwa...
Share:

Oct 10, 2012

MAWASILIANO

East Africa,Tanzania. Dar es salaam. Magomeni. Office: +255789476655 Cell: +255659161111/714973797 Email:mustaphamadish@gmail.com Instagram Facebook Twitte...
Share:

Sep 26, 2012

DSTV IMENIFANYA NIIJUE IKWIRIRI!!

DSTV bado inafanya vizuri na ukizingatia haina mipaka ndani ya Tanzania na ndo sababu ya kukufanya popote ulipo unaweza kufunga na ukaona kila ambacho unapaswa kuona kutokana na Package uliyoilipia!! Kwa mantiki hiyo ikafanya watu watoke sehemu moja inaitwa IKWIRIRI na kutaka...
Share:

Sep 19, 2012

MBIO ZA ABUDHAB!!

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...
Share:

Sep 1, 2012

UZURI WA FLAT SCREEN KWA UKUTA!!

Kwanza inapendeza asikwambie mtu,ipo salama pia na haichukui nafasi kubwa,zaidi ya yote unakuwa wa kisasa zaidi na ambaye unakwenda na wakati,kama bado upo nyuma huyu ameshakuacha!! Si kama nauza TV flat laa ila ambacho nafanya ni kufunga tu kama hivi,hii ni office ila nilianzia...
Share:

Aug 23, 2012

MWENDO NDO ULE ULE!!

Wenye kujua wataendelea kujua na wasiojua sitaacha kuwajuza! Hiki ni chumba cha kulala,matakwa ya mteja ndivyo nilivyoyatimia!Kwa kufunga Flat screen hapo ilipo na DSTV!!  Unaonaje kulivyopendeza!!  Mimi je!!  Ng'aa!! Nikachukua kilicho changu na...
Share:

Aug 11, 2012

OFFER KWA WATEJA WANGU WOTE!!

Kwa wale wateja wapya na wa zamani nafasi yako hii!! DISH MPYA YA LOCAL CHANNELS Tsh 280,000/=!! Inajumuisha vifaa vyote pamoja na ufungaji!! Unapata channel za Tanzania na nyenginezo za nje,ambapo inajumuisha zaidi ya Channels zaidi ya 50 bure...
Share:

Jul 29, 2012

INSTALLATIONS YA TV ZAIDI YA 1!!

Hakuna sababu ya kufunga Dish zaidi ya moja ya aina moja kwa nyumba moja kwasababu tu una TV zaidi ya moja na unahitaji channels zipatikane kwa TV zote! Hii inatumika kama kwenye Hotel au Lodge lakini pia inaweza ikatumika hata maofisini ama hata nyumba binafsi!!Ambacho unapaswa kufanya ni kujua channel gani unataka na je ni za bure ama za kulipia...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413