Call / WhatsApp +255755949413

Jul 9, 2014

BVN CHANNEL - OYSTERBAY DAR ES SALAAM

Nakumbuka mwaka 2008 niliwahi kupata mteja wa channel hii,tena ilikuwa baada ya mafundi kadhaa kuambulia patupu ikiwa wameshapoteza siku kama si masaa!! Kipindi hicho niliweza kufanikiwa kuipata kwenye Dish ya ft8,nikimaanisha c band! Oysterbay jijini dar,wenzangu na mie...
Share:

Jul 8, 2014

NILIYONAYO KWAKO...

 Baba na Mwana Nawasikitikia sana wale wanaopiga mechi za kikubwa kisha wanakimbiana,sababu zikiwa nyingi zisizo hesabika huku mwanamke akibaki mjamzito,ujauzito ambao mwisho wake unakuwa sio mzuri sana kwa maana wapo ambao wanaamua kutoa..hapa kwenye kutoa wapo...
Share:

Jul 7, 2014

C BAND FT12 - ADA ESTATE

Sababu iliyonileta hapa   Baba yake na Fetty Moja kati ya wanafunzi wangu wa kwanza kwanza kuwapa ujuzi huu ni huyu ambaye anaitwa Dullah kwa sasa amekula ajira pale Multichoice Tanzania ( DSTV ). Kutoka ku moyo najisikia faraja sana kuona nasababisha mtu au watu...
Share:

Jun 30, 2014

DSTV FAMILY PACKAGE | CHANNELS 70+ | TSH 39,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Family FTA KBC CITIZEN TBC STAR TV CHANNEL 10 ITV Clouds Tv KTN News K24 Bukedde Tv WBS NBS Tv e Tv Africa Dish MICHEZO SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SuperSport 9 SuperSport 9 East SINEMA Movie...
Share:

Jun 25, 2014

AZAM TV - MASAKI

 Wanapaita ushuani kule upepo unapovuma! Masaki jijini Dar es salaam! Azam tv tumetekeleza ile kauli mbiu ya burudani kwa wote!    Yap! Kazi Safi! Hii ni moja kati ya kazi nyingi nilizopata kupitia hii blog,ubora wa kazi yangu na uaminifu...
Share:

Jun 19, 2014

AZAM TV BURUDANI KWA WOTE INAPOPATIKANA

 Moja ya kazi safi kati ya nyingi! King'amuzi kinachofanya vizuri nje na ndani ya Tanzania..Kwa Vipindi vya nyumbani, ligi za nyumbani na burdani kibao. Kwa malipo ya mwezi kuanzia 15000 ama kwa wiki kuanzia 5000. Tupo tayari kukuunganisha sasa na kwa wakati.. Unaweza...
Share:

KAMA KAWA KAMA DAWA!

Dish inavyostahili kufungwa,hapa itapita miaka mpaka kuitwa tena! Nishafanya yangu ya kupendeza na kuacha wadau wa Azam tv wakila burudani! +255659161111 Mustapha MaDi...
Share:

Jun 18, 2014

DSTV TANZANIA IMETUPELEKA JANGWANI

...kuna mtu aliwahi kusema watu waishio mabondeni ili waweze kuhama watolewe huduma zote muhimu ikiwemo Umeme.. Leo napata jawabu hapa kwa mfano kama ingelikuwa aliyesema ndiye Meneja wa Tanesco sidhani kama angelisema hivyo.. Kama kweli umeme ungetolewa maana yake hata...
Share:

Jun 13, 2014

BRAZIL YAANZA KWA KUITANDIKA CROATIA 3-1

  YOTA aliyebeba matumaini ya Wabrazil wengi, Neymar amefunga mabao mawili usiku huu katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa ufunguzi wa fainali za kombe la dunia. Neymar alifunga bao la kusawazisha kwa shuti la mbali na aliongeza bao  la...
Share:

Jun 10, 2014

VIWANJA VITAKAVYOTUMIKA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Estadio Beira-Rio porto alegre Arena Da Baixada curitiba Arena De Sao Paulo sao paulo Estadio Do Maracana rio de janeiro Estadio Minerao belo horizonte Estadio Nacional brasilia Arena Pantanal cuiaba Arena Fonte Nova salvador Arena Pernambuco recife Estadio Das Dunas natal Estadio Castelao fortaleza Arena...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413