Call / WhatsApp +255755949413

Aug 31, 2014

LINAPOKUJA SWALA LA MVUA!

Pichani ni dish ya Azam tv huku mvua ikiwa inachapa vilivyo... maana yake ni kwamba ndani hapo picha imepotea... Kinachotokea kwa Azam tv hata DSTV kinatokea.. Linapokuja swala la mvua Dish ndogo huwa zinaelemewa... Hivyo kinachotakiwa ni uvumilivu wa muda mchache na...
Share:

ZUKU SMART PLUS PACKAGE | TSH 13,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha zuku Smart Plus:- Kuna jumla ya channel 40 tv Channel 18 radio Channel zilizopo punde ntawajuza....!!  Msaada zaidi +2557894766...
Share:

Aug 1, 2014

BEI MPYA YA AZAM TV

Kutokana na sababu za kiuendeshaji imelazimika yatokee mabadiliko katika kuuza king'amuzi cha Azam tv. Bei mpya ya Azam tv toka leo Tarehe 1/08/2014 ni Tsh 165000/= Inajumuisha vifaa na Ufundi. Malipo ya mwezi ni ile ile Tsh 12500/= Ukilipa Tsh 177500/= unapata kufungiwa...
Share:

Jul 9, 2014

BVN CHANNEL - OYSTERBAY DAR ES SALAAM

Nakumbuka mwaka 2008 niliwahi kupata mteja wa channel hii,tena ilikuwa baada ya mafundi kadhaa kuambulia patupu ikiwa wameshapoteza siku kama si masaa!! Kipindi hicho niliweza kufanikiwa kuipata kwenye Dish ya ft8,nikimaanisha c band! Oysterbay jijini dar,wenzangu na mie...
Share:

Jul 8, 2014

NILIYONAYO KWAKO...

 Baba na Mwana Nawasikitikia sana wale wanaopiga mechi za kikubwa kisha wanakimbiana,sababu zikiwa nyingi zisizo hesabika huku mwanamke akibaki mjamzito,ujauzito ambao mwisho wake unakuwa sio mzuri sana kwa maana wapo ambao wanaamua kutoa..hapa kwenye kutoa wapo...
Share:

Jul 7, 2014

C BAND FT12 - ADA ESTATE

Sababu iliyonileta hapa   Baba yake na Fetty Moja kati ya wanafunzi wangu wa kwanza kwanza kuwapa ujuzi huu ni huyu ambaye anaitwa Dullah kwa sasa amekula ajira pale Multichoice Tanzania ( DSTV ). Kutoka ku moyo najisikia faraja sana kuona nasababisha mtu au watu...
Share:

Jun 30, 2014

DSTV FAMILY PACKAGE | CHANNELS 70+ | TSH 39,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Family FTA KBC CITIZEN TBC STAR TV CHANNEL 10 ITV Clouds Tv KTN News K24 Bukedde Tv WBS NBS Tv e Tv Africa Dish MICHEZO SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SuperSport 9 SuperSport 9 East SINEMA Movie...
Share:

Jun 25, 2014

AZAM TV - MASAKI

 Wanapaita ushuani kule upepo unapovuma! Masaki jijini Dar es salaam! Azam tv tumetekeleza ile kauli mbiu ya burudani kwa wote!    Yap! Kazi Safi! Hii ni moja kati ya kazi nyingi nilizopata kupitia hii blog,ubora wa kazi yangu na uaminifu...
Share:

Jun 19, 2014

AZAM TV BURUDANI KWA WOTE INAPOPATIKANA

 Moja ya kazi safi kati ya nyingi! King'amuzi kinachofanya vizuri nje na ndani ya Tanzania..Kwa Vipindi vya nyumbani, ligi za nyumbani na burdani kibao. Kwa malipo ya mwezi kuanzia 15000 ama kwa wiki kuanzia 5000. Tupo tayari kukuunganisha sasa na kwa wakati.. Unaweza...
Share:

KAMA KAWA KAMA DAWA!

Dish inavyostahili kufungwa,hapa itapita miaka mpaka kuitwa tena! Nishafanya yangu ya kupendeza na kuacha wadau wa Azam tv wakila burudani! +255659161111 Mustapha MaDi...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645529

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413