Hii ni Receiver
Zamani ilikuwa unaweza ukanunua Receiver yeyote ambayo inasoma card then unaenda DSTV wanakuuzia smart card kisha wanalink baada ya hapo unakuwa mteja bila kununua Decoder hii ilikuwa inamfanya mteja kuweza kupata Channels za DSTV na zile za bure kama Local kiasi kwamba hata usipolipia DSTV utaendelea kuona zile za bure!!Lakini huduma hii kwa sasa wamesitisha ili kupata huduma za DSTV ni lazima upate Decoder za DSTV!!
Hii inakuwa huduma ya pili kufungwa ya kwanza ikiwa ile ya kupata DSTV kwa kutumia C BAND na wale wenye Decoder za zamani kwa sasa pia hazifanyi kazi
Decoder hii ya zamani
Hii nayo ya zamani lakini unapata DSTV
Zifuatazo ndizo mpya single view Decoder: