Call / WhatsApp +255673378129

May 28, 2014

PSPF - INSTALLATION YA DSTV





Mjengoni.

 Mlango mkuu wa kuingilia
Kuna mdau aliwahi kuniambia ndio jengo refu kupita yote dar es salaam,
linaitwa Golden Jubilee Tower lipo maeneo ya posta!
Binafsi ambacho naweza kusema ni refu kweli maana ukikaa juu ni balaa!!
Hapa ndipo zilipo office za PSPF - Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa umma.

Huduma yangu iliyohitajika hapa ni kuwezesha wadau kuona kila kinachoendelea kwenye DSTV.
Kwa bosi na Customer Care nami na team yangu kazi kazini!












 Flavian - Mtaalam Mwenyewe









Mustapha MaDish kama kawa!
Kazi ilichukua siku mbili hatimae tukamaliza!
+255789476655 NAWE UPATE KILICHO BORA
Share:

May 1, 2014

TUNAWATAKIA MEI MOSI NJEMA

Baadhi ya team kazi tayari kwa kukuhudumia
Lengo ni kukupa kilicho bora kwa wakati na kwa mifano iliyo hai!
Je umependa huduma zetu muda huu wa sikukuu kama signal haiko poa ni rahishi sana,unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kupiga no.+255789476655 utaeleza shida yako kisha huduma itakufata ulipo bila ya wewe kuinua mguu wako!
Kuhusu king'amuzi chochote hapa tanzania.
Share:

Apr 25, 2014

NDANI YA NAPOLI LODGE

 Mustapha MaDish mzigoni!!







Je unamiliki Lodge/Hotel na ungependa kupata channels kwa tv zako zote zilizopo kwa channel safi na zile zinazopendwa!!? Unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kubofya no.+255789476655/714973797/659161111 Ongea na Mustapha MaDish shida yako itakuwa imemalizwa!
Share:

Apr 24, 2014

DSTV OFFER!!

Kwa Tsh 129,000/=
Technical Director mzigoni!

Unapata Dish,Decoder,LNB,Cable mt 20 na Ufungaji!
Baada ya hapo unachagua kifurushi ukipendacho kati ya vifuatavyo:-
ACCESS TSH 16500/=
FAMILY TSH 33,000/=
COMPACT TSH 56,000/=
COMPACT PLUS TSH 88,000/=
PREMIUM TSH 138,000/=
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA +255789476655
Share:

CHANNEL ZISIZOONYESHA KWENYE AZAM TV

KUHUSU AZAM TV


Wadau,
Tunapokea malalamiko kutoka kwenu kuwa chanel za ZBC,K24 na NTV zinaandika ACCESS DENIED.
Kuhusu channel hizi za Kenya yaani K24 na NTV,hazitoweza tena kupatikana ndani ya Azam TV kwani tumepaswa kuziondoa kutokana na kutokuwa na haki za kuendelea kuzirusha nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa Wahusika wa hizo chanel,wametutaka tuzitoe na hazipaswi kuoneshwa nje ya mipaka ya Kenya...poleni kwa usumbufu wowote mliyoupata na utakaojitokeza.
Kuhusu ZBC sasa imerudi hewani lilikuwa ni tatizo la kiufundi tu lakini sasa limeshashughulikiwa na inaruka kama kawaida.
Azam TV Burudani kwa Wote.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NO.+255789476655
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita