Call / WhatsApp +255673378129

Jun 10, 2014

TATIZO LA AZAM TV



TUNAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU MLIOUPATA NA MNAOENDELEA KUUPATA...
Yapata wiki sasa Decoder za Azam tv zimekauka na huwa tunapata wakati mgumu sana kuwaruhusu wateja wangu kuondoka pasipo kupata walichokitegemea.....
TATIZO LIPO NJE YA UWEZO WETU ILA LINAFANYIWA KAZI KWA NGUVU ZOTE TOKA MAKAO MAKUU...
Tunachowaomba msituchoke,tunaomba muendelee kuwa wavumilivu na muda wowote toka sasa hduma zitaendelea kama ilivyo ada kuwauzia na kuwafungia wateja wapya!
TUNAWASHUKURU KWA KUWA WAELEWA..
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wateja wetu wapya kwa uelewa mlio nao!
+255789476655 KWA MSAADA ZAIDI
Share:

Jun 8, 2014

ANGALIA WORLD CUP FREE!!

Yap! Pengine unaanza kujiauliza unawezaje!? Je unawaibia DStv!!??
Jibu hapana,bila kumuibia mtu kwa kutumia Dish lako dogo unaweza ukaona mpira buree nyumbani kwako!
Hii inahitajika Receiver,Dish KU,Cable,KU lnb baada ya  hapo kabumbu inahamia nyumbani kwako bila malipo yeyote ya mwezi!

Hapa watu wanacheck mpira ndani!
Kwa maelezo zaidi +255789476655 Mustapha MaDish


Share:

Jun 7, 2014

RATIBA ZA MECHI KOMBE LA DUNIA

Kila kona si ya Tanzania pekee ni dunia nzima story ni kombe la dunia hata kama nchi husika haijapeleka timu yao kama  ilivyo sisi Tanzania,bado haitukatazi kuwa na msisimko na kombe hili!
Kwanini kutokana na upenzi wa mpira wa miguu kwa ujumla kwa maana hiyo ukiacha burudani kuna kujifunza pia sasa wacha niwape ratiba itakavyokuwa kuanzia tarehe 12/06/2014

Trh 12/6/2014-Brazil v Croatia saa 5 kamili usiku.

Trh 13/6/2014-Mexico v Cameroon saa 1 kamili usiku.
Trh 13/6/2014-Spain v Netherlands saa 4 kamili usiku.
Trh 13/6/2014-Chile v Australia saa 7 kamili usiku.

Trh 14/6/2014-Colombia v Greece saa 1 kamili usiku.
Trh 14/6/2014-Ivory Coast v Japan saa 10 usiku.
Trh 14/6/2014-Uruguay v Costa Rica saa 4 kamili usiku.
Trh 14/6/2014-England v Italy saa 7 kamili usiku.
Share:

DSTV YA KUCHAKACHUA!

Maswali yamekuwa meengi kuhusu Receiver gani sahihi ya kuweza kupata DSTV ya wizi!!
Ijapokuwa Receiver ni nyingi na kila kukicha zinakuja namna za kufanya wizi huu yaani kufungua channels ambazo zinalipiwa kwa kupata kwa gharama ya chini sana ambayo kwa lugha nyepesi ni bure lakini jibu hakuna Receiver nzuri ya kuchakachua DSTV ama channels nyengine za kulipia wewe utake kupata bure!
Narejea tena HAKUNA receiver ya uhakika ya kuibia kampuni zinazotoa huduma zao kwa malipo maalum!
Kwa watumiaji wazuri wa wizi huu watakuwa sambamba na mimi kwakuwa toka zilipoanza njia za kupata dstv kwa kuiba zinakuwa hazina uhai!
Miaka kama mitatu nyuma nakumbuka walilia watu wengi sana ambao nawafahamu na wengine kwa kunipigia simu kwa kutaka msaada baada ya kupigwa pesa nyingi ili wapate DSTV ya bure matokeo yake zikazima zote!
Wapo waliopata bahati ya kuona miezi 6 na zaidi ila wengi walipata bahati nzuri zaidi ya kupata kuona dstv ya bure kupitia hivyo vidubwana kwa week moja na wengine siku 4!
Kiukweli kila leo huwa napenda kusema shortcut inagarimu sana!
Muda ambao wewe unaumiza kichwa utaiba vipi,mwenye mali nae anaumiza kichwa atadhibiti vipi wezi msipate nafasi!
Ukifikiri vizuri DSTV wala si bei kubwa kutokana na yaliyomo,pia uzuri wake ina vifurushi kwa wenye uwezo tofauti,kwa uzuri zaidi unweza ukaanza na kifurushi cha bei ya chini na inapotokea mgodi umetema unapata hata kama mwezi haujaisha!
JIUNGE LEO KWA PUNGUZO KUBWA KABISA OFFER YA KOMBE LA DUNIA!!
TSH 129,000/=
UNAPATA KUFUNGIWA NA VIFAA VYOTE VINAVYOHUSIKA!
KISHA UNACHAGUA KIFURUSHI AMBACHO CHA CHINI KABISA NI TSH 165000/=
JIKUNE UNAPOJIWEZA!!
PIGA +255789476655/14973797/659161111 UUNGANISHWE SASA!



Tukiwa katika kuunganisha wateja wapya!

Share:

Jun 6, 2014

DSTV TANZANIA OFFER Inafanya vizuri!

Baada ya kukumbuka site nimerejea kama kawa na leo nimeamka na DSTV ikiwa ni OFFER ya Tsh 129000/= Unapata kufungiwa na vifaa vyote isipokuwa inakuwa haina kifurushi cha mwezi!
Moja nilifunga kiwanja cha nyumbani Magomeni ila hii Magomeni Makuti!
Ya pili nilifunga sehemu moja wanapaita Kinondoni Manyanya.
Picha nazo zilipatikana ijapokuwa kwa uchachee!!
KUUNGANISHWA/MSAADA KIUFUNDI PIGA +255789476655

 Magomeni

 DStv magomeni

 DStv magomeni

 DStv kinondoni

 DStv kindondoni

 DStv kinondoni

DStv kinondoni
Share:

FREE CHANNELS KWENYE C BAND

C band kwa signal
 Kiukweli kwa kiasi kikubwa watumiaji wa Dish za Local wamepungua sana kutokana na ving'amuzi kumiminika na kuwa bei rahisi!
Katika uchunguzi binafsi nimegundua watanzania wengi wanapenda ving'amuzi vya madish na ukweli ni kwamba ving'amuzi vya kutumia Dish ndivyo ving'amuzi mkataba kwa signal!
Katikati ya jiji tukashusha signal za local kisha...!!
Mustapha MaDish baada ya kusign mi huyoooo!!
UNANIHITAJI!!!!???
+255789476655
Share:

Jun 1, 2014

CHANNELS UNAZOWEZA KUONGEZA KWENYE AZAM TV

 Decoder ya Azam tv



Channel za Azam tv

Dish ya Azam tv ikiwa kwenye signal

Swali la wengi ni kwamba je unaweza kuongeza channel kwenye Decoder ya Azam tv na ni zipi!?
Hakika unaweza kuongeza na baadhi ya channel ambazo zinapendwa na wengi ambazo unaweza kuongeza ni African tv swahili ya sudan,RTS na nyenginezo..
Kwa maelezo zaidi unaweza wasiliana nasi kwa kuja ofisini ama piga simu 
no.0789476655/659161111-Mustapha MaDish.

Share:

May 31, 2014

DSTV - KINONDONI MANYANYA



Offer inaendelea  kufanya vema ukizingatia kombe la dunia ndo habari ya mjini kwa sasa!
Wadau wanataka brazil kuihamishia majumbani mwamo na hii ndo sababu ya kutufanya tuipeleke DSTV kinondoni manyanya!
Mustapha MaDish nikagonga sign yangu na kisha nikachapa mwendo!
PIGA NAMBA HII KUPATA DSTV +255789476655
Share:

May 28, 2014

PSPF - INSTALLATION YA DSTV





Mjengoni.

 Mlango mkuu wa kuingilia
Kuna mdau aliwahi kuniambia ndio jengo refu kupita yote dar es salaam,
linaitwa Golden Jubilee Tower lipo maeneo ya posta!
Binafsi ambacho naweza kusema ni refu kweli maana ukikaa juu ni balaa!!
Hapa ndipo zilipo office za PSPF - Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa umma.

Huduma yangu iliyohitajika hapa ni kuwezesha wadau kuona kila kinachoendelea kwenye DSTV.
Kwa bosi na Customer Care nami na team yangu kazi kazini!












 Flavian - Mtaalam Mwenyewe









Mustapha MaDish kama kawa!
Kazi ilichukua siku mbili hatimae tukamaliza!
+255789476655 NAWE UPATE KILICHO BORA
Share:

May 1, 2014

TUNAWATAKIA MEI MOSI NJEMA

Baadhi ya team kazi tayari kwa kukuhudumia
Lengo ni kukupa kilicho bora kwa wakati na kwa mifano iliyo hai!
Je umependa huduma zetu muda huu wa sikukuu kama signal haiko poa ni rahishi sana,unachopaswa kufanya ni kuchukua simu yako na kupiga no.+255789476655 utaeleza shida yako kisha huduma itakufata ulipo bila ya wewe kuinua mguu wako!
Kuhusu king'amuzi chochote hapa tanzania.
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita