Hivi ndivyo masaa yanavyokatika tukiwa tunawajibika kama ilivyoada ili
mkono uende kinywani!
Kutoka Kinyelezi ilipokuwa Dish ya DSTV na kutakiwa ihamishiwe Kariakoo
ili maisha yaendelee kama kawa watu wakila burudani zao wakiwa na tv
tuu!!
Hapa tayari kwa kufunga Dish!
Imeshika kwa ukuta!
Imetokeza kwa bati
Hapa setting zikiendelea
Hapa kitu mwake!
Ila katika site ambazo kama si ubunifu wa fundi itakuchukua muda mrefu ama kutokupata signal kabisa hii ni mojawapo site pasua ila kwakuwa ndo hivyo tena Mustapha MaDish nikadish dish hapo kisha nikachukua vyangu nikachapa mwendo kama kawaida!