Oct 10, 2009Kitaaluma naitwa Mustapha MaDish na hii ndio sehemu sahihi ya kuonyesha kile kilichofanya nikaitwa Mustapha MaDish... Yote haya nafanya kwakuwa napenda kile nifanyacho kwa lugha nyepesi naipenda kazi yangu na siku zote ukiipenda kazi yako utaifanya kwa juhudi zako zote bila kusimamiwa na mtu!
Nilikuwa na wazo hili na nashukuru mungu leo nalitimiza,nitakapofanikiwa hili nitakuja na lengine zuri zaidi!
Ijapokuwa changamoto zilikuwa nyingi na haijawa kazi nyepesi hivyo ila nimefanikiwa nashukuru Mungu!
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nakumbukia na nikaona si vibaya nikakumbuka kwa kuzalisha kitu hiki kizuri kila itakapofika siku kama ya leo nikumbukie vitu viwili kuzaliwa mimi na kuzaliwa hii blog hapa!
NAPENDA KUKUKARIBISHA ILI TUSHIRIKI PAMOJA!
Bila wewe niseme ile ukweli siwezi kufikia lengo,siwezi kufanya mwenyewe bila ushirika wako..
nnachokuomba tusafiri pamoja katika safari hii..
Hapa utapata kujua yote yanayohusu Madish nikizungumzia madish nazungumzia yale yote ya bure na kulipia,utapata kuyajua kiundani zaidi na hata utakapohitaji kufungiwa ama kufanyiwa repair hapa wataalam wapo wa uhakika!
Kwa maelezo zaidi piga namba +255789476655
Mustapha MaDish

4:07 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search