Nov 25, 2010

CNZA 2MEREJEA TENA....!!!

Leo nipo pande za cnza karibu kabisa na nilipozaliwa naamaanisha nyumbani,hapa nili install DSTV miezi kadhaa iliyopita ila leo nimerejea tena kuinstall FTA kwa ajili ya local channel na channel za gospel na mambo yalikuwa as usually:-Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

0 Unasemaje..??: