Mar 15, 2011

Hilo hapo chini ni Dish Antenna aina ya c band,unaweza ukasema pengine anashughulika ili watu waone picha but c kama udhaniavyo...!!
Mimi niliishia hapa ila kilichoendelea nadhani hata wewe mwenyewe unapata picha...!!
3:43 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Huo ni ubunifu kweli somo kwa wajenzi wetu!
Hivi kuna tofauti gani kati ya dish la wavu na la kawaida?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search