May 11, 2011

Matembezi kwetu ni kama kawaida,hapa tumerejea tena kwa mdada mmoja hivi yupo maeneo ya Mbezi sala sala n mambo yakawa mswano,kana kwamba tunabomoa kumbe ndivyo twatengeneza...!!

Hii ni twin KU lnb kwa ajili ya channel za Gospel.


 Hii ni twin KU na twin C BAND,maana yake utapata channel za Local na Gospel na hiyo dish ndogo ni kwa ajili ya DSTV.

6:35 AM   Posted by Mustapha Hanya with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Habari!!
kwangu TBC siipati kabisa je ni kwanini?

Anonymous said...

Alafu nasikia ving'amuzi vya TBC kuna frq ukiweka mpaka za mengi zinaonekana!!

Mustapha maDish said...

TBC1 inasumbua kwenye futi 6 na kama unatumia receiver ambayo sio mpg4.
Kuhusu ving'amuzi kuingia channel za mengi ni kweli ila kwa sasa hakuna kitu hicho.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search