May 10, 2011

Nyumbani kwangu pia...!!

Icje ikawa ikawa kama fundi nanii yeye anatengenezea wenzie vitanda hali ya kuwa yeye analala chini...!!


Hii ni dish ya DSTV na hapa ni nyumbani kwangu ambapo napata usingizi,hivyo nami maisha yanaendelea kama ambao nawafungia hayo madish..!!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Vizuri nawe ujiwekee vizuri!!

Anonymous said...

Unataka kuniambia kwako umefunga DSTV ya malipo ya mwezi au unatuuza tu sisi wananchi tusiokuwa na maujuzi hayo,kutokana na ukweli kwamba kama sasa nasikia kuna DSTV ya ukifunga hulipii tena.