Jul 20, 2012


 
Dish c Antenna za tube ukasema ikileta mushkeri ushike bomba na kuzungusha!!
Dish inahitaji ufundi na mafundi wake kama sisi!!
Swali je dish yako inasumbua!!??
Kama kupoteza signal!
Picha kukata kata!
Unataka kuhama!
Umenunua uliponunua lakini huna mafundi wa kukufunga!
Na mengineyo kama hayo kwa msaada kiufundi zaidi unaweza wasiliana nasi:
Iwe unatatizo nyumbani kwako,Hotelini kwa wale wamiliki hotel,iwe bar,kwenye lodge,kwa office n.k.
Huduma ni zaidi ya malipo ulipayo!!
7:56 AM   Posted by Mustapha Hanya with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mi nataka kufunga arabsat unafunga bei gani kaka!!?

Anonymous said...

Nahitaji kufunga Arabsat cost inakuwaje ikiwa kila kitu kwangu na cost inakuwaje ikiwa kila kitu kwako!!
Na inachukua muda gani kufungwa?
Nipo maeneo ya msasani!

Anonymous said...

Kaka nasikia kuna dongo hii unaijua!?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search