Sep 19, 2012


ABUDHAB INSTALLATIONS!!
Napata maswali yenu mengi sana  kwamba mnataka kujua mnawezaje kupata Decoder za Abudhab!?,kiukweli kwa Tanzania sijui sehemu maalum ya wakala wa hawa jamaa na kama wapo tunaweza kufanya mawasiliano ili kwa wanaotaka niwaelekeze kwao kwasababu mimi ambacho nafanya ni Installations pamoja na vifaa vyengine kasoro Decoder tu.
Ugumu wa kupata Decoder ni jinsi ya kuagiza kutokana na ukweli kwamba hawa jamaa wapo Arabuni,hivyo hakuna jinsi zaidi ya kuagiza kwa kumtumia mtu ama kuagiza mwenyewe!
Unaweza ukanunua then ambacho mimi nitakusaidia ni kuhusu vifaa vyengine kama dish,cable na Installations ila kwa kuongezea tu unaponunua ni vizuri ukanunua card mbili,namaanisha na ya Aljazeera!!


Hapa nikiwa katika kufanikisha watu waone channels zilizomo baada ya kununua Decoder waliponunua then wakanitafuta nikawapelekea Dish na vifaa vyote vilivyohitajika na kuwafungia kisha nikachapa mwendo maana wengine pia walikuwa wananihitaji!!!
3:40 AM   Posted by Mustapha Hanya with 4 comments

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hizi decoder mi nataka lakini unaweza nisaidia vipi kuagiza nikapata?
Na inachukua siku ngapi mpaka kufika hapa tanzania??

Remigius Albert said...

kaka mi naishi mzumbe moro, utanisaidiaje kupata 5ft offset dish.My email address is remmy761@gmail.com

Remigius Albert said...

kaka nisaidie kupata 5ft offset dish. Naishi mzumbe moro

Mike Venance Mshanga said...

Mkuu embu ukiwa na muda tembelea flysat.com alafu ucheck E 7WA WEST kuna chnls kibao za free,nimeona MBCs zote zipo pale kama FTA. Sasa tatizo ni ku dish ya futi ngapi? Kwa utundu mdogo nilionao nimedhania kuanzia futi tano. Nisadie kuhakiki,kisha nipe Uhakika.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search