Jul 24, 2013


Hapa banaa ilikuwa nawezaje kufunga dish na nikapeleka tv mbili vyumba tofauti na kila tv inajitegemea kubadili channel aipendayo muhusika anayeangalia tv hiyo!
Mbona si kazi kama mawazo ya wengine yalivy!
Mahitaji Dish husika kwa kuwa waarabu ndio waliohitajika ni c band yaani dish inayoanzia ft6 na kuendelea,lnb c band ambayo ya njia mbili,receiver mbili,cable then niachiwe uwanja nifanye maujanja yangu!!!!
Kufumba na kufumbua Oman tv ikaamia mkulanga!!7:42 AM   Posted by Mustapha Hanya with 4 comments

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kaka unatisha. Ndiyo sababu hujawah kunijibu e mail yangu. Kumbe upo bize sana. Kazi kazi kaka . Hongera.

Mustapha MaDish said...

Pa1 sana!!

Anonymous said...

mikoani unakuja lini kama mi nipo Arusha ila pia nna guest yng Moshi nahitaji huduma zako nimekutumia email pia

Anonymous said...

Nataka kujua ubora wa Dish ya nyavu na bati na bei zake!?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search