Aug 10, 2013

+255789476655
Muda ambao vijana wenzangu wanatumia mtandao kupiga soga na kupotoshana mi kwangu ipo tofauti sana tena sana maana kila kukicha naongeza idadi ya marafiki si kupiga piga soga zisizo na maana bali kufanya haya ya kupendeza na hapa nimefika kutokea mtandaoni umenisomaaa!!!!!


8:41 AM   Posted by Mustapha Hanya with 9 comments

9 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kuna fundi bwana alikuja nifungia dish ila niliona siku mbili tu hivyo najipanga nitakutafuta kaka!!

Anonymous said...

UTAKUBALI KUAJIRIWA NA TBC?
KAMA UKO TAYARI JIBU......Anonymous said...

Wengi wanatumia mtandai ndivyo sivyo haya kaka upo sahihi sana!!

Anonymous said...

sipati tbc1 kaka utanisaidiaje?

Mustapha MaDish said...

Tbc wamebadili!

Mustapha MaDish said...

Najua maana ya mtandao n nauhemu sana!
Zaidi ya yte nawasikitikia sana wanaotumia ndvyo sivyo!

Anonymous said...

Kaka kwanza nikupongeze na kukushukuru ijapokuwa unafanyakazi/biashara ila kwetu tunanufaika na elimu ya bure na hata hivyo tumepata sehemu ya kuuliza kabla hatujanunua kitu kwenye ukanda huu wa Digital kaka ubarikiwe sana na ile ya TBC iliingia nafurahia maisha kama kawaida namuona Mkandamizaji.

Anonymous said...

Notre générateur de kamas est enfin disponible gratuitement
en téléchargement.
Depêchez-vous il n'est disponible qu'en petite quantité limitée.
Notre générateur de kamas vous garantie de non-bannissement
avec pleins d'options intégrée vous garantissant une sécurité optimale.

Il est nécéssaire de comprendre que notre programme n'est pas
difficile d'accès et vous permet une utilisation idéal en
tout cas
Non seulement vous allez pouvoir générer des kamas très simplement mais en plus vous êtes sur
d'être en toutes sécurité grâce à notre moyen de programmation unique utilisant des méthodes utilisés par les plus grands du moment.


Feel free to surf to my web blog :: generateur de kamas

Anonymous said...

habari mimi niko mbeya nahitaji decoder ya abudhabi au aljazera kati ya hizo ambayo naweza kuona game zote za nje na uefa ntapata kwa sh ngapi?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search