Jul 9, 2014


Nakumbuka mwaka 2008 niliwahi kupata mteja wa channel hii,tena ilikuwa baada ya mafundi kadhaa kuambulia patupu ikiwa wameshapoteza siku kama si masaa!!
Kipindi hicho niliweza kufanikiwa kuipata kwenye Dish ya ft8,nikimaanisha c band!
Oysterbay jijini dar,wenzangu na mie wanapaita pa kishua ila sina sababu ya kubisha!
Hakuna tofauti na mteja wangu yulee wa miaka ile,kwa maana wote wametokea taifa hilo na walihitaji channel ya nchini mwao!

Kwenye KU ft4 na Receiver ya kawaida tu,Mustapha MaDish nikaileta Netherland Tanzania kwa dk zisizozidi 45,baada ya hapo kuchapa mwendo kukahusika!


Kwa mahitaji ya Mafundi/Ving'amuzi vinatumia Dish aina zote hapa ndipo jibu lako!
Piga:-0789476655/0732575718/0859161111
Email:mustaphamadish@gmail.com
Mahali:Magomeni Mapipa/Morogoro rd 

7:45 AM   Posted by Mustapha Hanya with 10 comments

10 Unasemaje..??:

Anonymous said...

umetisha jombaaa

Anonymous said...

Ntakutafuta mkuu!

zuhery said...

Pole kwa kazi na hongera kwa kazi nzuri, hivi azam tv unaweza kuongeza channel nyingine za free to air?

Anonymous said...

Nahitaji huduma zako kaka ila nipo Arusha ni kwenye hotel nipo hatua za mwisho kumaliza i'll call u

Anonymous said...

Upo juu sana mkuu kamwe usiache kutupa uhondo

Anonymous said...

mi nataka uniletee Mauritius broadcasting corporation mbc 3

Anonymous said...

Mmm?

Anonymous said...

Una approve zinazokusifia tu? Mbona huku vijini tunafunga pia. Dkk 5 tu.

Anonymous said...

TV5 MONDE?

Robert Londo said...

Naipata tu kirajisi amos 5 5e kwenye dish la 90cm

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search