Nov 14, 2014

Hapa bada niwe tu mkweli,awali nilikuja kufunga Continental ya Dish ila mteja wangu huyu alinunua mwenyewe Decoder ambapo dish alikuwa nayo nilichofanya ni kufanya yangu ili Channel za Continental ziweze kumwagika bila chenga!
Yap nikafanya ya kufanya zikajaa ambapo idadi ikafika kama 90 hivi zote zikiwa buree!!
Ila kilichotokea ndicho kilichopelkekea huyu mteja kuuliza king'amuzi kingine na ndipo akaangukia kwenye hii Azam tv....!!

Mashine ikipambana na zege..

Nguvu kidogo...

Hapa mteja atanisahau!

Sababu ya kuwa tofauti na wengine..

...............!!Baada ya hapo unadhani ntamalizaje kama si kama hivi:-
KUPATA AZAM TV | PIGA +255789476655 | TUNAKULETEA ULIPO.
2:26 PM   Posted by Mustapha Hanya in , , , , with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Heshima kwako mkuu!

Anonymous said...

Nawezaje kujifunza hii fani yako kaka?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search