Aug 31, 2015

SPORT PLUS | TSH 14,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha ziada cha Sport plus:-
Kuna channel 4!SPORT ARENA
SPORT PREMIUM
SPORT LIFE
WORLD FOOTBALL


MSAADA KIUFUNDI |USHAURI | CHOCHOTE KUHUSU STARTIMES | +255789476655
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Chanel zimejifuta zipo chache hata nik search haziji nifanyaje? pleaded