Sep 6, 2015

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Nyota:-
Kuna zaidi ya channel 30!TBC
TV1
CLOUDS TV
EATV
TBC2
ITV
CHANNEL 10
STAR TV
NTA NEWS 24
NBS
DOVE TV
NTV ( KENYA ) UGANDA
ST ZONE
E.TV
E-STARS
ST SPORTS FOCUS
TVC NEWS
DA VINCIL LEARNING
1 MUSIC
ST GOSPEL
GOD TV
ST SWAHILI
ST SWAHILI BOLLYWOOD
AMC
AMC MOVIES
ST KUNGFU 1
CCTV 9
CCTV NEWS
SMILE OF A CHILD
MINDSET TV
ST MUSIC
ST GOSPEL
DEEN TV
IQRAA


MSAADA KIUFUNDI |USHAURI | CHOCHOTE KUHUSU STARTIMES | +255789476655
6:57 AM   Posted by Mustapha Hanya with 20 comments

20 Unasemaje..??:

kansigo chakupewa nkwabi said...

unajiungaje,mfana kwa tigo pes

IBN HUSSEIN said...

Habari wahudumu, TV Imaan kwenye orodha ya Channel za Startimes mbona sioni au ndo Imeandikwa Deen TV

ELIA said...

Nimelipia 8000 sijapata channel zinasoma not subscribed, card yangu ni 02035749581

Anonymous said...

Please urgently assist no access not subscribed msg displayed dispite of having paid card no. 02035749581

ELIA said...

Nimelipia 8000 sijapata channel zinasoma not subscribed, card yangu ni 02035749581

Mpenda watu said...

nimelipia 6000 sijapata channel zinasoma not subscribe card yangu 02035569205

being said...

Kuna chanel gan znaonesha movie za kibongo?

Unknown said...

Card yangu ni 02035575314 sijalipia lakini napata TBC 1 tu Chanel zingine za free sizipati. Shida nini? Maana kwa mujibu Wa sheria Chanel za free natakuwa zipata hata kama sijalipia kifurushi chochote.

Anonymous said...

Waulize Kupitia Hizo No Zao Za Simu Walizoweka

Mc Edo said...

Nmelipa 60000, kadi yangu ni 02035333502 cjapata channels naambiwa kurecharge nifanyeje!?

MATATA KAZAWADI said...

Niko Tanzania vip mbona vifurushi vyevu viko juu ukilinganisha na Azam kwani mwanzoni mnajitangaza vifurushi nilikuwa vya kawaida? Kuna mpango upi wa kuhakikisha tunaangalia Moira wa mpira ligi kuu vodacom ( Tanzania premiers league?) Bila kufanya hivyo nahama. Naomba mlifanyie kazi.

Anonymous said...

Nimelipia elfu 9 ila napata chanel 12 pekee je nyengine nazipataje?

Unknown said...

Mimi nimelipia 10000 namba ya kadi 02035860788 lakini channels hazionyeshi hasa Tanzania mfano clouds hazipo kabisa katika list za channel

Unknown said...

Naitwa omary iddy nimelipia 10000 lakin sipati Chanel yoyote tatzo mini

Unknown said...

Na je vipi kuhusu TV tumaini mbona haipo kwenye orodha

Unknown said...

Nalipia 6000 lakini akifiki mwezi Namba zangu 02035715967

Unknown said...

I would like to join you soon, I have been using zuku all this time,
What a loss!!!

Unknown said...

Nimelipia Tshs. 10,000/= kwa ajili ya kulipia KIFURUSHI cha shs 9,000/=
Naona bado king'amuzi bado kinaonyesha smart card error.
Naomba msaada.
Asante.

Mafikiri Mushi

Unknown said...

Nkilipia 8000/= napata Chanel 7 tu

Unknown said...

Mm nahitaji dish napataje?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search