Nov 16, 2015


Je unatumia DStv? ama unahitaji kujiunga na DSTV? 
Karibu kwa kufata utaratibu huu:-

IKIWA UNATUMIA DSTV:
 • Umelipia na bado hupati channel?
 • Picha inakatakata ama haionyeshi kabisa
 • Unataka kuhama toka nyumba moja kwenda nyengine
 • Unahitaji kuongeza Decoder nyengine ama kubadili
 • Unahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu bei mpya za vifurushi
 • Unahitaji kujua chochote kuhusu huduma za DStv
 • Unahitaji Fundi 
 • Msaada wowote wa kiufundi
Dish ya DStv ikiwa kwenye setting!

Fundi akifanya ufundi wake!

Piga simu namba +255789476655 Kwa msaada zaidi! 

UNAHITAJI KUJIUNGA NA DSTV
 • Kujua Bidhaa zote za DStv
 • Kujua bei halisi/Offer ya kununua king'amuzi
 • Kujua bei halisi ya vifurushi Bofya Hapa
 • Kujua bei ya Ufundi
 • Kujua namna ya kuweza kuunganishwa
 • Kupata huduma ya kuletewa ulipo na kulipia baada ya kuletewa
 • Ikiwa umenunua na hujafungiwa ili upate fundi popote ulipo Tanzania
 • Yote yanayohusu DStv

Piga simu namba +255789476655 Kwa msaada zaidi!


1:48 AM   Posted by Mustapha Hanya in with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mimi ni moja kati ya wateja wako tulionufaika na huduma zako,hongera kaka mwanzoni nilijua ni promo za mtandaoni na mpaka uwe na kipate zaidi ili upate huduma nzuri kumbe hata sisi.

Timothy Ibrahim said...

VP baada ya malipo ya mwezi kuisha kuna zile channels za ndani unaweza kupata hata Kama hujalipia? Mfano tbc, itv,startv,ten, clouds na mengine?

Call +255789476655

 • Text +255759091445

Follow

Search