Aug 10, 2015

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha Nyota:-
Kuna zaidi ya channel 8!


BOLLYWOOD HD
STAR GOLD
STAR PLUS
ZOOM
TIMES NOW
ST PLUS
ZEE CINEMA
ZEE TAMIL

MSAADA KIUFUNDI |USHAURI | CHOCHOTE KUHUSU STARTIMES | +255789476655
7:16 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Lucas Mwaimu said...

HABARI,
MIMI NAITWA LUCAS MWAIMU NI MTEJA WA STARTIMES NAMBA 018 1941 2078 NILIFIKA KITUO CHA MOSHI NIKITAKA KUONA CHANEL ZA TANZANIA, NIKAAMBIWA NILIPIE SHS 44,000 TAREHE 24/11/2018 MUDA SAA 5 ASUBUHI NILIFANYA MALIPO NAKUPEWA RISITI. CHAKUSHANGAZA SIKUPATA CHANNEL ZOZOTE HADI LEO. NILIRUDI TAREHE 04/12/2018 KUULIZIA WAKANIAMBIA HAWAKUMBUKI. BAHATI MBAYA RISITI YANGU YA TRA NILIYOPEWA IMEFUTIKA. NAANZA KUPATA WASIWASI NA UTENDAJI WA STARTIMES. MENEJA ALINIAMBIA NIWAACHIE NAMBA ZANGU ZA SIMU LAKINI INAWEZEKANA WAMEAMUA KUNIPUUZA. 0714 017 377

Unknown said...

Nenda TCRA....

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search