Dec 5, 2015

 Ni mkristo gani ambaye ni muangaliaji wa tv na haijui Emmanuel tv? ama hamjui TB Joshua?
Pastol wa kanisa la mataifa yote..
Emmanuel tv ni tv ambayo ina wapenzi karibu dunia nzima,ni tv kubwa sana ya dini ambayo makao makuu yake ni Lagos Nigeria,imeanzishwa 8/3/2006 mmiliki akiwa ni Emmanuel Global Network,Lugha inayotumika ni English,Inarusha matangazo Africa,North/Central America na Europe!
Binafsi na team yangu tumeshafunga sana madish ili wadau waangalie hii tv inapatikana bure kama utafunga kwa kupitia Dish ndogo/kubwa na receiver ya kawaida tu unapata zaidi ya channel 65 zote zikiwa free ikiwemo hii Emmanuel tv! Ila hata katika baadhi ya ving'amuzi Emmanuel tv inapatikana ila huko ni lazima malipo ya mwezi yahusike vinginevyo huwezi kuiona!

Kwa maelezo zaidi jinsi ya kuipata channel hii na nyengine za Dini!
+255 789 476 655

1:06 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Undeniably consider that that you said. Your favourite reason appeared to be on the
net the easiest thing to have in mind of. I say to you, I definitely get irked at the same time as folks think about concerns that they
plainly do not realize about. You managed to hit the nail upon the highest and also defined out the entire thing without having side-effects , people could take a
signal. Will likely be back to get more. Thanks

my website :: lasertest

Anonymous said...

ambacho ni sahihi ukifanyacho ni hiki mimi ni mmoja kati ya walionufaika na huduma zako ubarikiwe na mungu na uendelee kufanyakazi kwa bidii na uendelee kuitumia vema Technologue wewe ni kijana uliyeonyesha kuwa tunaweza kutumia mtandandao na kufanya manunuzi bila usumbufu tukiwa majumbani Hongera sana na nitaendelea kuwa tangazo kwa jamaa zangu wote watakaohitaji huduma za ving'amuzi

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search