Apr 12, 2016


Hili ni janga kubwa karibia kwa wateja wote wa ving'amuzi vya kulipia,unafanya malipo lakini hupati picha kwa wakti ama hupati picha kabisa!
Njia za kufanya ili usipate usumbufu wakati wa kufanya malipo ya mwezi:-
> Kabla ya kufanya malipo hakikisha unajua bei ya kifurushi unachotaka kulipia
> King'amuzi chako umekiwasha kabla hujafanya malipo
> Ikiwa unalipia kifurushi ambacho ni tofauti na cha awali huna budi kupiga simu ama kufata njia zilizoelekezwa ili kubadili kifurushi
> King'amuzi chako kina Signal ya kutosha

Nini ufanye ikiwa umeshalipia na hukufata njia hizo:-
> Washa king'amuzi chako
> Hakikisha kina Signal kwa kuangalia channel ambayo ipo bure ( mf:ya matangazo )
> Piga simu kwenye kampuni husika ya king'amuzi unachotumia ili ufunguliwe ama upewe maelekezo zaidi na ikitokea umekosa msaada namba hii ni msaada kwako +255789476655
mustaphamadish@gmail.com
9:55 AM   Posted by Mustapha Hanya in , , , , with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kaka nashukuru umekuwa msaaada mkubwa ubarikiwe sana

Batury Nassibu said...

Habari Naomba msaada nimenunua king'amuzi lakini nitaka kulipia inaniandikia invalid account number

Batury Nassibu said...

Habari naomba msaada nimenunua king'amuzi lakini nikitaka kulipia inaniandikia invalid account number naomba msaada wako

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search