Oct 30, 2017

Jinsi inavyokuwa:- Kuna aina tofauti ya vifurushi kwa king'amuzi cha Antenna na Dish pia
Watumiaji wengi wa king'amuzi cha StarTimes hulipia pengine 9,000 ama 6,000 na kutegemea kifurushi alicholipia kiishi kwa muda wa mwezi mmoja,matokeo yake kinaenda wiki moja ama hata wakati mwengine hakifiki wiki malipo yanaisha na mtumiaji kutakiwa kulipia tena,hapa ndipo wateja wengi hutamani kukibeba king'amuzi na kukipiga chini!!!
Usichokijua ni kwamba:- Kifurushi ulichopo ni cha juu,yawezekana upo kwenye kifurushi cha Tsh 24,000 ama cha Tsh 36,000 hivyo inapotokea umelipia Tsh 9,000 ama Tsh 6,000 itahesabu siku hivyo haitafika mwezi channel zitakata!
Unachopaswa kufanya:- Ikiwa hujua upo kifurushi gani ni bora kufanya jambo moja la msingi upige simu kabla ama baada tu ya kulipia ili uhamishiwe katika kifurushi unachokitaka kikuwezeshe kufika mwezi mzima!
Kwa Maelezo zaidi!
+2557894766552:59 PM   Posted by Mustapha Hanya with 10 comments

10 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Tatizo hili mimi hunitokea mara zote,nakumbuka mwanzoni baada ya ile ofa ya miezi sita sikuwahi kulipia kifurushi kikafika mwezi na nilishapiga simu mara nyingi ila tatizo bado sugu kwaile namba ya 0764700800

Anonymous said...

Kwanini sasa mnakuwa mnamuunga mtu kifurushi kikubwa wakati huo anakuwa amelipia bei ndogo?
Jiongezeni basi ili kuepusha migogoro na wateja wenu

Anonymous said...

Yaaan mm hii ni Mara ya tatu wanachukua pesa cjui maana yao nn napenda startime s ila bac maana nimelpia kifurushi cha mwezi, hata wiki haijaisha wakanikatia Huduma
Ila nahic dawa yao IPO, sio fare wanavyonifanyia

Unknown said...

Kifurushi cha mambo nimelipia ila cloudstv haipo Kwa nini?

Anonymous said...

Mbona hwa jamaa hawajibu, nadhani muarubani wao ni kuhama, providers ni wengi,na wao hawana uhuni km huu, eti ukikatikiwa ndipo wanakupa sababu, wakati unanunua mara ya kwanza hawakuelezi kwamba unaweza kulipia mwezi na ukakatiwa kabla

SAMENGA said...

Startimes mnababaisha kwa sasa

Unknown said...

Nataka kujua nipo kifurushi gani maana namba mliyoiweka haipatikani na nimelipia sh 12000

Unknown said...

Mm nimelipia tar 25 october kifuryshi cha mambo elf 12.000 nimepata kuona only 2 weeks namba zenu hazipokewi sijui mtanisaidiaje na kifurushi kinakaribia deadline

Unknown said...

Nimelipa kifurushi cha mambo elfu 12 tarehe 21Nov,lakini tarehe 5Decemba kimekwisha,kulikoni?

Unknown said...

Card number 01819478807 nmeweka tar 25.12.2018 Leo hakionesh nmelipia cha nyota tatzo nn

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search