Call / WhatsApp +255673378129

Showing posts with label Electric Fence Installation. Show all posts
Showing posts with label Electric Fence Installation. Show all posts

Aug 29, 2017

UZIO WA UMEME KWA ULINZI


Tukikuhudumia unapata faida gani!?
  • Jengo na mali zako kiujumla kuwa salama
  • Bei nafuu ambayo mtanzania ni rahisi kuimudu
  • Tunakupa ushauri kabla ya kukuuzia huduma 
  • Tunafanya kazi ndani ya muda
  • Miezi 12 ( mwaka mmoja ) unapata repairing bure
  • Tunapita kufanya check up kila baada ya miezi mitatu
  • Tupo karibu na wewe saa 24.
  • Ni rahisi kutufikia
Tupigie kwa namba +255789476655 ama Whatsapp+255784378129
Tupo Dar es salaam
Popote Tanzania tunafika!
Share:

Aug 19, 2017

TUPE RUKSA YA KUZILINDA MALI ZAKO!

Moja kati ya Hiden Camera ambazo hazionekani, hii ni kwenye Office.
Tuna njia mbili za kuomba ruksa yako tuzilinde ama tuzifanye mali zako kuwa salama muda wote, ama kukufanya kana kwamba upo eneo la tukio hali ya kuwa pengine upo ne ya nchi lakini bado ukiendelea kuona kila kinachoendelea iwe nyumbani, Ofisini, ama eneo lako lolote ambalo ungependa tukusaidie kulipa ulinzi..
Tuna njia ya kwanza ya CCTV CAMERAS SYSTEM INSTALLATION.
  • CCTV Cameras system installation inakupa uwezo wa kushuhudia kwa macho pasi kuambiwa na mtu kile kinachoendelea pale ambapo unahitaji kufungiwa hizo camera! Camera zipo zenye kuonekana ili anayetaka kufanya tukio aone kabisa anachotaka kukifanya kinaonekana ama pia zipo ambazo hazionekani kwa maana hizi ni ngumu kwa mtu kuona kama eneo hilo kuna camera zinazomuona! Pia zipo camera zenye uwezo wa kuchua na sauti na zipo zisizo na uwezo huo na la kuongezea zaidi kuna zile HD ambazo mtu ama kitu unakiona katika muonekano wa HD..
  • ELECTRIC FENCE INSTALLATION hii ni njia nyengine nzuri kwa kukomesha wezi! Mara nyingi inakuwa tunafanya kwenye uzio, yaweza kuwa wa nyumbani, yard, hotel, n.k

Tunapatikana Dar es salaam, ingawaje ulipo wewe Tanzania ukituhitaji kukufikia ndio wajibu wetu na zisikutishe gharama unafuu wa gharama zetu ni moja kati ya huduma zetu bora kwako ambazo haitatokea wa kuzishindwa ikiwa tu upo tayari kupata huduma zetu!  
Kwa maelezo zaidi chukua simu yako kisha tupigie!
+255789476655
Whatsapp+255784378129
Share:

Jul 1, 2017

ELECTRIC FENCE

Electric Fence kiwandani.

 Electric Fence kwenye Makazi.
Ni katika kuhakikisha sehemu yako na mali zako kiujumla zinabaki salama kwa kuweka ulinzi na mfumo wa ulinzi mmojawapo ni huu wa uzio wa umeme!
Electric fence unaweza ukafunga kwa kutumia aina tatu ya vyanzo vya umeme:-
  • Kwa kutumia Solar
  • Kwa kutumia Betry
  • Kwa kutumia umeme wa kawaida
Siku za usoni nitawafafanulia kwa kila njia na njia ipi ni nzuri zaidi ili uweze kujilinda na kulinda mali zako kiujumla!

Kwa Mahitaji ya kufungiwa Electric Fence, CCTV Cameras na TV System popote ulipo wewe kwa mkoa wowote Tanzania!
Kwa maelezo zaidi +255789476655
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita