Leo ni mapumziko na kila mtu anaifurahia kwa mtindo wake,ambapo kitaifa ilifanyika uwanja wa taifa wenye nafasi walienda lakini mimi nilikuwa kazini kama kawa na haya ndo niliyoya7babisha leo uhuru day.....!!!



Unaweza ukashangaa vipi Dish la DSTV lakini kuna Reciveiver ya Media com badala ya Decoder ya DSTV,hapa bana nimeinstall channel za Gospel ambazo ni free zipo 30,hazina uhusiano wowote na DSTV ila kwasababu dish zinaingiliana ndo maana tukatumia hilo.....!!!
2 Unasemaje..??:
Hivi hauwezi kupata channel hata moja ya Tanzania kwa kutumia dish ndogo....??
Ibra
Hauwezi kupata mpaka Dish inayoanzia futi 6 na kuendelea....!!
Post a Comment