Hizi ndizo channel za Tanzania zinazopatikana kwenye Satellite Dish,ambayo inaanzia ft6 na kuendelea kwa kutumia C band lnb 1.
Unaweza ukajiuliza inakuwaje mtu anafunga dish kwa channel hizo tu,ila ambacho kitakuongezea ni channel za nje zikiwemo habari,movie na mengineyo...!!
Idadi ya channel inakuwa nyingi ama chache kutokana na idadi ya lnb na ukubwa wa dish pia lakini dish inayoanzia ft6 unaweza ukaona channel zaidi ya 60 zikiwepo na hizo hapo juu za channel Tanzania.
11 Unasemaje..??:
mimi nina strong na nataka kuona na dstv kwa kutumia hii hii strong nafanyaje....??
Maana kuna sehemu nimeona hii....
clouse tv vipi haipatikani kwenye dish...?
Mbona kwenye antenna inakamata clear sana..??
Je frequency zake..!!
kama unatumia receiver ya strong ambayo inatumia card,unaweza kuona dstv kwa kununua smart card ya dstv then wanalink na receiver yako baada ya hapo unaweza kuona dstv...!!
Lakini ni lazima ufunge dish kwa muelekeo wa dstv na frequency za dstv...!!
ambacho naweza kukwambia mdau clouse haipo kwenye satellite,sijui hapo kwa baadae na kuhusu kuonyesha vizuri ni mitambo yao tu ina nguvu sana....!!
Dish kubwa haina uwezo wa kukamata DSTV kwani....??
Dish kubwa inayo uwezo ila kwa Decoder za C band tu....!
Vipi hawa jamaa wa kujiita ZUKU TV wazuri??
Nilikuwa Naomba Kama Namsaidia Na frequency Za channel mbalimbali Za kwenye dish
Naomba namba mpya za chanel ten 2015
Hivi kwa sasa 2016 kuna channel za satellite yenye C-Band lnb 1,zaidi ya ITV,EATV,CAPITAL,STARTV,TIM,MVM 1,MVM2?
Kama ipo naomba frequency zake,by Patrick Manuma.Kupitia Manuma1984@gmail.com.
Nina satellite dish futi 6 ina C-Band lnb 1,napata ITV,EATV,CAPITAL,STARTV,TIM,MVM1,MVM2.
Kuna channel zaidi ya hizi kwenye c-band,naomba frequency zake kama zipo.
Post a Comment