
Mustapha MaDish nikiwa Azam tv HQ
Niseme tu ukweli katika ujio wa
ving'amuzi vyote Tanzania huu ni ujio tofauti sana,kwa maana kabla ya kuanza
kuuza wadau wamekuwa na shauku ya kutaka kununua bila kujua
nini kilichopo ila tu wanaamini itakuwa king'amuzi bora kuliko...