Mar 27, 2015


Awali hakukuwa na mfumo huu wa vifurushi ila kutokana na uendeshaji na kutafuta maboresho imepelekea kuanza mfumo huu wa vifurushi,katika kumbukumbu za wengi ndicho king'amuzi kilichokuwa quality,channels nyingi ila malipo ya mwezi ni madogo!
Hivi ndivyo vifurushi vya azam tv,idadi ya channel na bei:-

1.AZAM LITE PACKAGE
Ina channel 40+ bora
Malipo ni Tsh 10,000/= kwa mwezi
Malipo ni Tsh 3,000/= kwa wiki
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

2.AZAM PURE PACKAGE
Ina channel 60+ bora
Malipo ni Tsh 18,000/=
Malipo ni Tsh 7,000/= kwa wiki
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

3.AZAM PLUS PACKAGE
Ina channel 90+
Malipo ni Tsh 23,000/=
Bofya Hapa kujua channel zilizopo katika kifurushi hiki!

4.AZAM PLAY PACKAGE
Ina channel 105+
Malipo ni Tsh 28,000/=

MSAADA - KIUFUNDI | KUNUNUA | CHOCHOTE KUHUSU AZAM TV | 
+255 789 476 655

50 Unasemaje..??:

Anonymous said...

kaka mbona huku sisi tunauziwa bei juu sana

Nancy Salmin said...

Kwa niaba ya Mustapha MaDish pole ndugu ambaye umecomment na wote ambao mnakumbana na kuuziwa bei juu,ambacho tunakifanya ni kujaribu kuwapa maelekezo wateja wa ving'amuzi karibu vyote kwa mikoa yote mawakala sahihi ambapo mnaweza mkanunua kwa bei elekezi..

Anonymous said...

Hii ishirini ni pamoja na VAT au ni VAT inclusive?

Unknown said...

Wiki moja iliyopita, leo ni tarehe 3 Sept., nilikuwa naangalia Alhazeera na BBC kwa Tsh 12 000. Jana nimenunua kifurushi kile kile TV station hizi hazionekani! Imeni disapoint. Kubadilisha badilisha products, hata kama ni Benki, hufanya wateja kufunga accounts. So tuwe consistent and predictable kwa package zetu.

Erhard Rutakulemberwa said...

Nikihitaji kifurushi kimoja chenye channel zote za Azam tv nafanyaje!?

samoramsouth said...

Naomba nisaidie nimenunua leo kin"gamuzi cha azam, nimelipia 12000, bado hawajanifungulia, hv inachukua muda gani hadi kufunguliwa au kuba tatizo leo? 0714128855/0759200019 mamba ya smart card ni 212934176380

Rogathe Sarwatt said...

Nimenunua jana package ya 25000 naona sioati baadhi ya chanel pls msaada

Robert Bamanyisa said...

Kila nikijaribu kununua kifurushi naambiwa sina salio nimekwisha weka tsh 45000 mpaka sasa

Robert Bamanyisa said...

Kila nikijaribu kununua kifurushi naambiwa sina salio nimekwisha weka tsh 45000 mpaka sasa

Zeenath S. Khatri said...

Nimenunua kifurushi cha 16000 kihindi tupu napata colors th

baharia said...

Kifurushi cha azam sports kuna channel gan na gani???

angelo yeremiah said...

Ninafanyaje kubadili usajili wa king'amuzi cha azam nimekinunua kwa mtu

Abubakar Mohamed said...

How do I pay

Anonymous said...

Nikitaka kifurushi cha AZAM PAY cha sh. 25,000/- pamoja na AZAM SPORTS cha sh. 15,000/- inabidi nilipe mbalimbali au kwa mkupuo mmoja yaani sh. 40,000/-?

Anonymous said...

kingamuzi kimekaaa muda mrefu bira kulipiwa kimeandika smart card is expayd nafanyaje

Anonymous said...

Je kampuni ya azam tv mna mipango gani ya kuonyesha ligi nyingine tofauti na la liga na vpl?

emmanuel said...

habari mie king'amuzi changu cha azam tv kimefuta channels zote

Daniel Mwakibasi said...

Na Channel za bure zipo ngapi ili nijue kabla sijaunganisha kutumia. Course kwa Kigoma nasikia Channel mbili tu za ITV na Clouds ndo bure. Je ni kweli kama ni kweli kwanini TBC, CHANEL TEn, Star tv, EATV, capita tv, Tumain tv, Uhuru tv, n.k zisiwemo kwenye vifurushi vya bure kama maelekezo ya tcra yanavyoelekeza. Na kuendelea kujitenga wanasababisha mtu mmoja kuwa na ving'amuzi zaidi ya vitatu. Off course huduma za ving'amuzi zinaboa

Mustapha MaDish said...

Bwana Daniel pole..! Local channel zilizopo kama malipo yakiisha zinabaki kwa muda wa siku 21 maana yake wiki 3 kisha zote zinakata ikitokea zinabaki chache ama hazibaki kabisa inabidi utoe taarifa

Mustapha MaDish said...

Kinatoa ujumbe gani ambaye king'\amuzi chako kimefuta channel zote!?

Raymond Sabuni said...

King'amuz changu cha azam kinaweek sasa kinaonyesha no signal sielewi tatizo nin maana hata channel ya matangazo nayo haionyeshi why?

Raymond Sabuni said...

King'amuz changu kinaandika no signal why tatizo ni nin?

Juma Hinai said...

Habari, muda mrefu nalipia 27,000/= napata vifurushi vya Azam Pure na Azam Sports, sasa nataka nipate Azam Plus na Azam Sports nifanyeje.

KINYOWA FAMILY said...

Habari, kwenye azam Kuna channel inayoonyesha michezo ya mieleka wwe?
Ahsante

Anonymous said...

Acha kutudanganya mbona mimi kifurush kimeisha Leo tarehe 5 na wamekata chanl zote ispokuwa Tbc?..TcrA njooni mtusaidie hili nalo nibjipu

Prisca Majura said...

Nakupigia hupatikani

frank joao said...

I have 8 months without make the payment of my azamtv account, now I question ... What could happen before make payment ..?
I'm worried it's because I'm out I mean I live out of Tanzania...
There is no Someone suppose who to help me my doubt...

Anonymous said...

Nimelipa17000 nikanunua kifurushi cha 15000 change yangu nitaipataje

stanley temba said...

Bora kuhamia dstv tu Kwanza king'amuzi ni elfu 80 tu wakati azam ni 160,000/- bila kufungiwa kisha dstv wana pakeji ya 19,900/- bomba ambayo ni nzuri kuliko hio ya azam ya 28,000/-.

Shairu Chuma said...

Tangu tarehe 25/06/2017 sipati Tv 1 Tanzania.Jee,kuna tatizo gani?

Frank said...

Tv1 wameitoa azamtv kwa nini...wairudishe kwakuwa walikua wanarusha EPL siku saiv sioni ubora wa azamtv watatufanya tuhame

Anonymous said...

Warudishe Tv1

Anonymous said...

Naomba msaaada namna ya kulipa AZAMTV King'amuzi kwa kutumia M-PESA ?

Cyber Secure said...

Cyber Fire and Security now offer a superb range of CCTV products to our customers, as well as a first rate installation service, affordable CCTV installers London around areas to keep business and communities safe.

CCTV Installers London
CCTV installation London
Burglar alarms London
CCTV installers London
CCTV Companies London
CCTV cameras London

Hosiana Kileo said...

Natamani kununua kingamuzi chenu ila nataka package yenye channel zote bila restriction

Unknown said...

Naomba nipewe utaratibu wa kulipia Clouds plus" please

Unknown said...

kwa nn mmetoa tv1 bora mrudishe tunapata tabu sanaaaaaaa

Unknown said...

Habari nataka kifurushi cha week cha 7000 mbona nashindwa nisaidie pleas.

Unknown said...

Leo nimenunua kifurushi cha shilingi elfu 7000 nimefuata taratibu za kubadilisha kifurushi toka azam lite na kwenda azam pure lakini ni zaidi ya masaa manne sijabadilishiwa na huduma kwa wateja namba zinatumika muda wote.Naomba msaada.

anin benard said...

kikweli sijaona kwa kampuni kubwa hivi no ya customer care haipatikani kwa siku mbili hii huduma bora ndiyo iko hivi au tumeshakuwa wengi sana tumekuwa kero na wasumbufu

anin benard said...

kikweli sijaona kwa kampuni kubwa hivi no ya customer care haipatikani kwa siku mbili hii huduma bora ndiyo iko hivi au tumeshakuwa wengi sana tumekuwa kero na wasumbufu

Unknown said...

Niko arusha. Nataka dish la Azam. Bei kwa sasa ni ipi?

Unknown said...

bei ya kingamuzi tsh ngapi tuliopo dodoma mana bei juu sasa hatuelewe bei hali ni tsh ngapi

Unknown said...

tupe bei kwa ya dishi la azam kwa sisi wa dodoma

Unknown said...

bei ya kingamuzi tsh ngapi tuliopo dodoma mana bei juu sasa hatuelewe bei hali ni tsh ngapi

Unknown said...

Mna utaratibu gani huu ya channel zilizoondolewa na kama bado kurudishwa vp bei za malipo Kwa Sasa.

Unknown said...

Vip azam tv bie ya malipo hai pungui kutokana na channel zilizo punguzwa

Unknown said...

Nimenunua kifuru cha AZAM PURE lakini channel hazioneshi.
Unknown said...

Vp naomba kuuliza hivi ni lini mtaturejeshea Chanel nyngine ili tuweze kufurahia zaidi huduma zenu .AMIRI NGOMA

Unknown said...

Turudishieni taarifa ya habari na hiyo channel isilipiwe tunaomba

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search