Nilikwishasema na leo narejea tena inapotokea king'amuzi chako hakionyeshi la kufanya kwanza Bofya Hapa ukiona bado huelewi hebu fanya jitihada za kulifikia Dish lako ama Antenna yako!! Sasa kama hii Dish fundi atacharge pesa ya signal wakati ilikuwa ni kukata hayo matawi ya mpapai ama kuukata kabisa!
Ushauri wangu watumiaji wa Ving'amuzi mjiongeze mtuhitaji inapolazimika tu sio kwa kazi kama hizi ambazo wenyewe mnaweza kuzifanya,huwa sijisikii vema kufanya kazi ambayo situmii taaluma yangu mfano wa hii hapa!
1 Unasemaje..??:
Huku Tanga unapatikana pia?
Post a Comment