Wadau/Wateja wa ving'amuzi wakubwa ni wapenzi wa mpira hii ilikuwa hata kabla Tanzania haijaingia katika makubaliano ya kati ya zile nchi zilizoachana na mfumo wa Analogue tv na kuingia katika mfumo wa Digital tv..Hii inatokana na wapenzi wa mpira kutaka kupata mpira kwa njia yeyote ile,hivyo imekuwa kama ndo biashara ikiwa ni mdau wa ving'amuzi ili ufanye mauzo mazuri ni lazima ujue namna ya kupata kuonyesha mpira hii imepelekea kina sisi kuchangamkia fulsa kwanza kutafuta njia za kupatikana kwa channels zinazoonyesha mpira bure/kwa bei nafuu kwa udi na uvumba ili kuweza kuuza kwa wahitaji ukiachilia kampuni iliyo na idhini ya kuonyesha mpira Multichoice ( DStv ) ambayo hakuna mdau yeyote wa mpira ambaye halalamikii bei za DStv hususani Packeges za Sports,hii inapelekea kila kukicha kubuniwa njia za kuibia channels za DStv!
Post hii itakamilika hivi karibuni karibu....
4 Unasemaje..??:
Habari mkuu!
Pole na majukumu..naomba nichukue nafasi hii kukupongeza kwa hii blog yako kwa maana unatusaidia sana kutuchambulia mambo ya ving'amuzi kwa kina tofauti na makampuni husika wanachojali wao ni biashara tuu,Ombi langu nadhani ni wengi wanaotamani kujua ni vipi tunaweza angalia mpira kwa bei nafuu hvyo tunaomba umalizie post hii nasi tuzidi kunufaika na elimu yako!
Kaka malizia hii post tunataka mpira wa bei nafuuu ama usiolipiwa mwisho wa mwezi tubachakachuaje tutupie hayo maujuzi kaka!!
Nakusubiri kaka malizia post hii
Ligi kuu inaanza kaka
Usiendelee. Ukifanya hivyo utakuwa unavunja sheria.
Post a Comment