
Kwanza ukishakuwa Fundi moja kwa moja unaaminika kwa taaluma
uliyonayo hivyo mteja ama jamii kwa ujumla wanajikuta wanaona unachofanya ama
kusema ndicho sahihi kutokana na wadhifa wako hata kama ni cha uongo… Binafsi
niwape angalizo wateja na mafundi kiujumla kwanza nianze na...