NB: Bei zimebadilika, ili kupata bei mpya na offer zilizopo Whatsapp+255784378129 ama text / Piga 0789476655
Wakongwe wa Digital hawa hapa na bado wanaendelea kufanya vizuri sana!
Leo niwakumbushe kitu kwa wale wateja wapya wanaotaka kujiunga na DStv mnachopaswa kufanya ili usijutie kwa maamuzi yako sahihi ya kujiunga na DStv.. Ifahamike ya kuwa Multichoice Tanzania ( DStv ) wamekusogezea huduma kwa kuweka wakala karibu na wewe ambao wanapaswa kutoa huduma kama ile inayotolewa makao makuu nikiwa na maana katika kiwango kile kile cha bei na huduma kiujumla..
Hivyo sio lazima ukitaka kujiunga na DStv uende makao makuu laa..
Unachopaswa ni kuzingatia haya:-
- Ujue bei elekezi ya kununua king'amuzi ( bei ya kampuni ). Ambayo ni Bofya hapa.
- Ujue bei za vifurushi. Kujua bei na vifurushi Bofya hapa.
- Hakikisha unapata fundi aliyeidhinishwa. Kupata mafundi wa DStv Bofya hapa.
- Ujue wakala aliye karibu na wewe. Kupata wakala wa karibu Bofya hapa.
- Upate mawasiliano ya makao makuu kama itatokea ukapata huduma ndivyo sivyo iwe rahisi kupata msaada. Kujua mawasiliano ya makao makuu Bofya hapa.
KWA MAELEZO ZAIDI KUWA HURU KUWASILIANA NASI
3 Unasemaje..??:
Bei elekez ya dstv ni sh. Ngap.
Dishi naweza pata
Dishi naweza pata
Post a Comment