Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha azam lite:-
Kuna zaidi ya channel 55
Kwa wiki ni Tsh 3,000/= na kwa mwezi ni Tsh 10,000/=
- Universal TV
- BBS TV
- Royal TV Rwanda
- Clouds TV Rwanda
- Salam TV
- Magic One
- Channel 44
- ASTV (Africa Swahili TV)
- Boing
- Africa News
- Spark TV
- TV - E
- Salt TV
- AMC Series
- Romanza Africa
- Zodiak TV
- Times TV
- KASS TV
- ABS TV
- DELTA TV
- Jeem TV
- MBC Plus Power
- RAI Italia
- Malawi National TV
- KBC
- Star TV
- Azam Two
- Azam One
- KTN
- K24
- Bukedde TV 2
- TV West
- NBS TV
- Urban TV
- UBC
- Citizen TV
- EATV
- ZBC 2
- African Movie Channel
- MBC 3
- Manchester United TV
- Real Madrid TV
- Al Jazeera English
- Fix & Foxi
- Colors
- MBC Bollywood
- MTV India
- ITV
- Clouds TV
- ZBC
- Chanel 10
- TBC1
- Sinema Zetu
JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI Bofya Hapa
KWA HUDUMA | USHAURI | CHOCHOTE KUHUSU AZAM TV | +255 789 476 655 Whatsapp+255784378129
37 Unasemaje..??:
Hii ni sawa kabisa kwa elfu kumi kwa mwezi bana matumizi na kinatija
safi sana
Decoder na dish full system ni Tshs ngapi
Decoder na dish full system ni Tshs ngapi
Vipi tv 1? Haiko kweny vifurushi vya azam?
Package ya AZAM LITE kwa bei ya elfu kumi (10,000) ni fair kabisa. Nawapongeza sana maana idadi ya channel inaendana na malipo hayo.
Bado kipo hicho kifurushi
Leo sioni channel za Tanzania kama Itv, Eatv,n.k
Mbona nimeweka hicho lite lakin Eatv, Channel ten, Star TV, ITV hazifunguki jaman
Naomba msaada
Dikoder na dishi fully parkege sh,ngapi kwa sasa
Azam tv mpo vizuri sana.
Hizo channel za Tz tutazipata? Au bado zimefungwa?
Kama mmeshindwa kutuonyeshea chaneli za kibogo mpunguze bei ya vifurushi.
sasa mmefungiwa baadhi ya chanel punguzen bei
Vipi azam sport 2 ipo?
Jinsi ya kujiunga
chaneli azioneshi kama itv chanel ten tv e eti wanadai zmefungiwa kwaio mpaka lini ztafunguliwaa???
Channel za kibongo mbona hazionyeshi
Kwasisi wapenzi wa michezo mungetuwekea azam sport 2 ilituwetunaangalia ligikuu tz bara
Chanel za bongo mmefikia wapi
Hiki kifurushi cha LITE bado kipo?
Mkuu nilijiunga package ya shlng elfu 10 lakin kimedumu kwa wiki mbili tuu, kwanini..?
mbona Mpo vibay
mbona Mpo vibay
Asanteni AZAM mnajali
Michaneli yenyewe imejaa udini ujinga mtupu
Turudishieni local channels jmn kwann
Sio poa
Mm natamani hicho AZAM TV maana nimetumia kwa mda dstv wanagarama sana hasa ukitaka kuangalia mpira. Mnazuzaje?
Mbona Kwangu StarTv haishiki
Mbona akuna wasafi Tv
Tanzania safaris channel
0784018916
AMC series and African movie channel sizipati. Tatizo ni nini?
Mbina mie nanunua cha wiki kinagoma
Azam mnazingua vipindi mnarudia ,kwa mfano masaptasapta na weka rekodi vunja rekodi,its borering
Azam umwanya umwanya umwanya saaana....mko vizuri sana.
Post a Comment