
ILI UFANIKIWE... NIMEJIFUNZA KUZINGATIA MOJA KATI YA VITU MUHIMU.. NI KUPENDA UNACHOFANYA..
..... Hapa siangalii sana napata bei gani ingawaje pesa ndio ambayo hasa tunaitafuta.. Nna mengi ya kuzungumza hapa ila leo somo liwe moja tu kwa Vijana wenzangu na wote ambao...