
Signal quality tz ni kipindi cha tv chenye kuzungumzia visimbuzi na digital tv kiujumla, chenye segment 3 ambapo kimeanza mtandaoni ( Instagram ) kwenye page ya mustaphamadish kuonekana kwa segment 1 tu isiyozi dakika 5 kila wiki! Baadae itahamia kwenye...