Kumekuwa na wingi wa mafundi wa kufunga madishi, ni vizuri kutokana na fursa iliyopo, wingi wa visimbuzi na watumiaji pia! Tatizo ni kupata mafundi wazuri, mafundi ambao wataweza kukufungia ama kufanya repair dish yako na ukafurahia huduma!
Mafundi wa kufunga visimbuzi vya DStv kwa Tanzania nzima:-
- Umenunua mpya unahitaji kufungiwa
- Umehama jengo unataka kufungiwa
- Inasumbua unataka kufanyiwa repair
- Unataka kufungiwa kwenye Office katika mfumo wa office
- Unataka kufungiwa kwenye Sports bar kwenye mfumo wa HD
- Unataka kufungiwa kwenye Hotel, Lodge n.k kwenye mfumo ambao kila room atajibadilishia channels mwenyewe akiwa room.
- Unataka kufungiwa kwenye Apartment ambapo kila mpangaji atakuwa anaingia na kisimbuzi chake tu
Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 10, tunakusikiliza kisha tunakuhudumia kutokana na mfuko wako kwa kuzingatia ubora!
Tanzania nzima tunafika kutegemea na kazi utakayotupatia!
Piga +255784378129 WhatsApp +255658046655
Tukifunga huwa tunafunga hivi!
Somewhere in Msasani - D'salaam
Somewhere in Msasani - D'salaam
Tanesco HQ - D'salaam
Salaam Hotel - D'salaam
Channels searching ( Transit Motel ) - D'salaam
Channels searching ( Lodge ) - Dodoma
Cable installations ( Dar city view ) - D'salaam
Control room ( King D hotel ) - D'salaam
Dish installation
RG 11 Coaxial cable
Control room
Instagram @mustaphamadish
0 Unasemaje..??:
Post a Comment