Call / WhatsApp +255755949413

Oct 7, 2010

TOFAUTI YA RECEIVER NA DECODER

Decoder ni kifaa kinachopokea Channel ambazo zipo fixed kwa mfano DSTV,ni lazima ziwe zinalipiwa na kampuni husika,hii inamaana huwezi kupata bure labda wenyewe waamue hivyo ama upite wizi.  Receiver ni kifaa kinachopokea channel zote zilizopo kwenye satellite,haijarishi...
Share:

Baada kufa GTV...!!

Ni wazi kwamba ni watanzania wengi wameathirika na uyeyukaji wa GTV wamejikuta wamebakia na Decoder wasijue wazifanyie nini huku wengine wakijipa imani ya kuwa ipo siku watarejea....!!Decoder ya GTV unaweza ukaitumia kwa kutumia dish lake lile lile unaweza ukaona channel zipatazo...
Share:

JUA USICHOKIJUA..........!!!

Kwa channel za nyumbani Tanzania si zote ambazo zinapatikana kwenye Satellite Dish Antenna,kwa sababu TV station nyengine wanatumia Transmeter kurusha matangazo yao hivyo channel yeyote ambayo inatumia Transmeter haipatikani kwenye Dish,nikiwa na maana ya kuwa itakulazimu...
Share:

Sep 15, 2010

ARABSAT

Hii inajumuisha Dish kubwa cband,Receiver,LNB,Cable na Installations! Unapata kama channels 29! KUHAMISHA Tsh 50,000/= KUFANYA REPAIRING Tsh 30,000/= KUFANYA INSTALLATIONS Tsh 50,00...
Share:

DSTV INSTALLATIONS

DSTV SINGLE VIEW Kwa sasa offer imeisha kwa Tsha 169,000/= unapata vifaa pamoja na Installations ya single view!! Then unachagua package uipendayo na kuilipia kwa utaratibu uliowekwa kama ifuatavyo:- Access $10 - Channels 40. Kama Tsh 16,000. Family $20 - Channels...
Share:

Sep 14, 2010

Abudhab TV

Hii ni ya waarabu na ili upate lazima ununue Arabuni,bei inategemea na jinsi utakavyopata namaanisha zile njia za kuagiza!! Hii inakuwa ni Decoder inakuwa na air time ya miezi 12!! Itakapoisha itakulazimu kulipia tena kwa mwaka kwa utaratibu utakaopewa! Sisi ambacho tunafanya...
Share:

Mar 16, 2010

Kazi za Diseqc switch

  Inaitwa Diseqc switch ni switch mojawapo katika mfumo wa satellite dish antenna.Kazi yake ni kuunganisha LNB zaidi ya moja,ama unaweza kusema Dish zaidi ya moja kwa wakati mmoja na channel zote kuingia kwenye receiver moja na kuweza kuona hata channel zaidi ya 200...
Share:

Jan 20, 2010

Local channel

      Kwa Tsh 320,000/= Unajumuisha C band Dish ft6,LNB cband n KU,Cable mt30,Receiver,Diseqc switch na Installations TV moja. Unapata kuona zaidi ya Channels 60 FREE!!! Za Tanzania zikiwemo zifuatazo: ITV CAPITAL EATV ATN TBC CHANNEL 10 STAR TV Ambazo sijazitaja hapo hazionekani kwasababu hazijajiunga na Satellite. KUHAMISHA...
Share:

Twende kazi...!!!

Kwetu kila kukicha tunacheza na mitandao kutaka kujua lipi jipya upande wetu huu ili tupate kwenda sawa na ya duniani,kila leo frequency zinabadilika na satellite kuhama hivyo ili wateja wetu waweze kupata ambacho wanakihitaji up to date,tunawatumikia sana kuliko wadhaniavyo...!! Leo...
Share:

"njoo tukuonyeshe Original ili uiepuke Fake"

KARIBU KWENYE BLOG YETU ITAKAYOKUWA INAHUSU MAMBO YOTE YA MADISH KAMA UTAHITAJI ELIMU ZAIDI,USHAURI,MSAADA KIUFUNDI AMA KUHUDUMIWA HII NDIO SEHEMU SAHIHI KWAKO KARIBU! FREE CHANNELS  KWA DISH KUBWA LOCAL CHANNELS ( Tanzania includes Mozambique n Angola ) *...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413