Oct 29, 2014


Lengo la kuwa na vifurushi tofauti ni kutoa fulsa kwa kila mdau kuweza kununua na kufanya malipo ya mwezi kutokana na uwezo wake.
Hivi ndivyo vifurushi vya DStv,idadi ya channel na bei kwa ujumla:-

1-DSTV BOMBA PACKAGE
Ina channel 65+ bora
Bei mpya ni Tsh 19,000
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

2-DSTV FAMILY PACKAGE
Ina channel 70+ bora
Bei mpya ni Tsh 39,000
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

3-DSTV COMPACT PACKAGE
Ina channel 85+ bora
Bei mpya ni Tsh 69,000
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

4-DSTV COMPACT PLUS PACKAGE
Ina channel 90+ bora
Bei mpya ni Tsh 109,000
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

5-DSTV PREMIUM PACKAGE
Ina channel 120+ bora
Bei mpya ni Tsh 169,000
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!

CHANNEL MAALUM | BEI ZAKE

DStv French Touch
Ina channel 7 bora
Malipo ni Tsh 15,600
kujua channel zilizopo!


DStv Indian
Ina channel 4 bora
Malipo ni Tsh 71,500
kujua channel zilizopo!


DStv French Plus
Ina channel 15 bora
Malipo ni Tsh 88,000
kujua channel zilizopo!


DStv Great Wall China
Ina channel 10 bora
Malipo ni Tsh 16,500
kujua channel zilizopoJINSI YA KUHAMA KIFURUSHI Bofya Hapa


  Mafundi wa DStv | Chochote kuhusu DStv | +255 789 476 655

66 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Thanks

deeboy112 said...

Nataka niwe naona channel spesho nnazo zitaka tuh. Kama za mpira tuh. Inawezekana or....

Mustapha MaDish said...

Hiyo haiwezekani ndugu Deeboy,unachagua kifurushi kati ya vifurushi vilivyopo tu!

Anonymous said...

Et naweza lipia kwa siku premium package??

Anonymous said...

Eti naweza kulipia kwa siku premiur package?

Anonymous said...

Habari, naitafuta channel 114 inaitwa VAM sijaiona kwenye kifurushi chochote, inapatikana kifurushi kipi nilipie?

Anonymous said...

Natafuta channel 114 iko kifurushi kipi?

vincent kaiche said...

Ili nipatr kifurushi cha chanel 85.jumla ya gharama zote ni kiasi gani?

vincent kaiche said...

Kuunganishwa na kifurushi cha chanel 85 jumla ya gharama zote ni kiasi gani?

William Paul said...

Being imekuwa kubwa mno Wateja wengine mnatupoteza

Anonymous said...

Je naweza kupata Emmanuel TV ya T.B Joshua kwenye kufurushi ninacholopia?

Elisha Sawe said...

Kwann mna tufanyie uhuni kutewekea big games on ss5

bobalish.blogsports.com said...

Dstv kwa kweli sasa mnatupoteza maana kila mwezi mabadiliko kunani?

alto augustine said...

Bei za vifurush ni kubwa sana, ni vyema kupunguza bei ili kutengeneza ushindani, maana ukiangalia kama azam anakuja juu, na mwishowe watu watahama kuhamia huko, maana watu wanafuata burudani, haswa mpira. Mm nashauri kukaachin na kutafakari upya kuhusu hzo bei za vifurush

Anonymous said...

Dstv mm nimelipia kifurushi cha sh.22000 lakini kuna chanel hazionyeshi

Temu Ndeo said...

Kifurushi cha premium extraview ni shillings ngapi?

Anonymous said...

Kaka samahani unawezs kunielekeza ni jinsi gan ya kufungia au kufuta channel coz kuna nyingine mbaya sana haswa kwa watoto wetu

Anonymous said...

Nimelipia shilingi 23500 mbona bado inagoma kuactivate,tatizo Ni nini?

Anonymous said...

Kifurushi cha 22000 akina ITV na TBC mahana sioni APA naona ch10 tu duuh kweli hii tz mbaka roko Chanel nazo kama inport kweli wabongo mnatufanya malofa

Anonymous said...

Kifurushi cha 22000 akina ITV na TBC mahana sioni APA naona ch10 tu duuh kweli hii tz mbaka roko Chanel nazo kama inport kweli wabongo mnatufanya malofa

WISE said...

hizi ni bei za update ipi mkuu?

rukiko michael said...

asante kurudisha ss5 na ss3 katika compact plus sasa mtapata wateja wengi hasa tunaopenda Epl na la riga nalipia next week

Seraphine Masoy said...

Mbona hamjibu maoni ya wateja?. Mwisho wa siku mtatupoteza. Angalieni bei zenu za packege ziendane na kipato cha mtu wa hali ya chini

rukiko michael said...

dstv zingatieni maoni ya wateja

elyphace lema said...

Nawaombeni mjibu maswali ya wateja wenu kwani kwa kukaa kimya mtawafanya waone wanadharauliwa

Anonymous said...

Napenda kununua kifurushi cha mwezi mmoja na nusu, napenda kujua nitaweka shilingi ngapi?

Anonymous said...

Napenda<>kujua<>kuwa<>nitaweka<>shilingi<>ngapi<>ili<> nipate<>kifurushi<>cha<>mwezi mmoja<>na<>nusu?

Mustapha MaDish said...

Dstv haina huduma ya kulipia kifurushi chochote kwa siku!

Mustapha MaDish said...

T.B. Joshua ipo kwenye vifurushi vyote hivyo unaweza lipia tsh 23500!

Mustapha MaDish said...

Ujumbe umefika Bobalish na alto augustine kwa niaba ya wengine wengi:Jibu lake ni kwamba Upandaji wa bei unatokana na gharama za uendeshaji hivyo sio kusudio la kuwakomoa wateja ijapokuwa jitihada zinafanyika ili zisiwe kubwa sana ili kila mtanzania aweze kumudu kutokana na vifurushi vilivyopo!

Mustapha MaDish said...

Unaweza ukaweka CODE kwa zile channel ambazo hutaki watoto wako waone kwa msaada zaidi piga +255789476655

Mustapha MaDish said...

Inawezekana muda ambao unalipia Decoder yako umeizima hivyo haiwezi kufunguka mpaka kupiga simu ama kurefresh!

Mustapha MaDish said...

Vifurushi vyote vina Local channel zote zilizopo DStv ila inapotokea baadhi huzioni kinachotakiwa ni kupiga simu kwa maana wakati mwengine system inafail!

Mustapha MaDish said...

Dstv hakuna huduma ya kununua Kifurushi kwa mwezi mmoja na nusu ipo huduma ya kununua kifurushi mwezi hadi mwezi kwa maana unaweza ukanunua miezi miwili,mitatu n.k ila ya nusu mwezi hakuna!

Mustapha MaDish said...

Wateja kwetu ni muhimu sana na inapotokea tumechelewa kujibu maswali yetu mtuwie radhi lakini yatajibiwa kama hivi!

Nicholaus Magawila said...

kaka mtoto kachezea remote control na kuzoom out, na kusababisha nembo ya supersport kutoonekana kwa kifupi kama naangalia mpira siwezi ona dakika zinavyoenda pia haioneshi kama game iko live maandishi yote hujificha kwenye kona ya tv. Naomba msaada nifanyeje kurudisha katika hali yake?

erickson maro said...

Mm nauliza kwamba ninaweza kuangalia dstv kwenye simu yangu ya mkononi na kama naweza nitapata channel zote au inakuaje

erickson maro said...

Mm nauliza kwamba ninaweza kuangalia dstv kwenye simu yangu ya mkononi na kama naweza nitapata channel zote au inakuaje

Anonymous said...

Hi habari nimelipia 140,000 lkini haionyeshi tatizo nini. Then nawapigia simu hampokei

Anonymous said...

Dstv wanafanya visivyo kufunga channel za bure pindi tu kifurushi kikiisha. Tusisahau vingamuzi tumenunua na ni mali yetu wateja. Chaneli za bure ni haki ya mteja pia! Kuna nini Dstv?

Naomba nifahamishwe.

Asante

Osokoni

john mlelwa said...

Decoda ya dstv inauzwa bei gani kwa sasa?

Denis Desdery said...

I have given a free package on purchase and promised to use it for thirty days then i can resume with my regular monthly payment. now the it is three weeks but the decorder offers me to recharge the package.

how this could be before the whole thirty days promised?

MKUDE SIMBA said...

NAHAMIA BEIN SPORT HUKU DSTV KWA MAFISADI

MKUDE SIMBA said...

NAHAMIA BEIN SPORT DSTV BEI JUUUUUUU SAAAAAAANAAAAAAAA NMESHINDWAAA

Alex Lubida said...

Nililipia kifurushi cha 23500 tangu tar 15 May naona kimekata. Nini tatizo? Maana ni wiki mbili tu na siyo mwezi

Mustapha Hanya said...

Ndugu Alex inapotokea umelipia kifurushi kisha kinakata kabla mwezi kuisha huwa mara nyingi ni tatizo la system tu hivyo huna budi kuwasiliana na DStv mara tu unapopata tatizo hilo isipokuwa ikitokea hata ile channel ya Dish huioni hapo tatizo haliwi kwenye mfumo wa malipo tatizo linakuwa ni signal!

Anonymous said...

Bei za package hazijabadilika ? Nataka kulipa ya elfu 84 kwa tigo pesa. Asanteeee

Mustapha Hanya said...

Bei bado hajibadilika ila ni Tsh 84500!

Anonymous said...

Nimenunua kifurushi cha bomba nataka kuhamia kifrushi cha compact nafanyaje?

Ally Mohamed said...

Mambo vp Mustafa, mfano kama kuna decoder inatoka South africa halafu me nikafanya usajiri wa smartcard hapa tz nikaweka kwenye hyo decoder itafnya kazi?

Leslie Trevor said...

Habari Mustapha. Kifurushi gani naweza pata super sports zote Na hicho kifurushi ni Sh.ngapi??

Anonymous said...

Enter your comment...da fikirieni hizo gharama eti

Greyson Kinanja said...

Vipi kuhusu ofa ya lamba asali na dstv

Anonymous said...

Yaani super sports mnaona ni mpira tuu wengine ni wapenzi wa michezo mingine sio mpira wa miguuu

Azimio tech Tanzania said...

ofcoz tengeneza campany yako mwenyewe utakua unaona

DeAndre Way said...

Hiweziiiiiiii

Custa Mwambuli said...

HAKIKA NASHINDWA KUELEWA YA KWAMBA NIMELIPIA KIFURUSHI CHA TSHS. 69000, LAKINI KIMEKUWA KINAKATA BAADHI YA CHANNEL WAKATI MWINGINE KWA KERO KUBWA SAN KWA NINI? HII SI KUKOSHESHANA STAREHE? NILILIPIA TAREHE 24.10.17 HATAVMWEZI BADO JIREKEBISHENI

Taymah Aboubakary said...

Jmn channel ya HBO inapatikana vipi kwa dstv

Taymah Aboubakary said...

Jmn channel ya HBO inapatikana vipi kwa dstv

Taymah Aboubakary said...

Jmn channel ya HBO inapatikana vipi kwa dstv

Peter Msoffe said...

Nahitaji kujua nawezaje kujiunga kifurushi kwa fedha ambazo zipo kwenye akaunt yangu .hapa nataka kujiunga ila napiga simu almost 3hrs now hazipokelewi inaboa sana acc yangu ni 1021008517

Peter Msoffe said...

Nahitaji kujua nawezaje kujiunga kifurushi kwa fedha ambazo zipo kwenye akaunt yangu .hapa nataka kujiunga ila napiga simu almost 3hrs now hazipokelewi inaboa sana acc yangu ni 1021008517

Anonymous said...

Its not my first time to visit this web site, i am visiting this web site dailly and get nice information from here every day.

Anonymous said...

Hi superb website! Does running a blog similar to this require a great deal of
work? I've very little knowledge of programming
however I was hoping to start my own blog soon. Anyways, should
you have any suggestions or tips for new blog owners please
share. I know this is off subject but I just wanted to
ask. Thanks!

Anonymous said...

Heya this is somewhat of off topic but I was wondering
if blogs use WYSIWYG editors or if you have to manually code with HTML.
I'm starting a blog soon but have no coding
knowledge so I wanted to get advice from someone with experience.
Any help would be greatly appreciated!

Michael Moshi said...

Dstv bomba kwa sasa ni sh ngapi dish+hd decoder na installation, na nikinunua kwa hapa dar naletewa mpaka nilipo?na badae nikitaka kwenda explora 2 labda ile decoder ya mwanzo inakuwa haifai tena au inakuwaje?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search